Ushauri Kwa Vijana kuhusu ujenzi

Mbongo4life

Senior Member
Joined
Nov 1, 2021
Posts
132
Reaction score
270
Ujenzi ni mgumu sana na unahitaji kujitoa sana na uvumilivu mkubwa . Jenga nyumba ambayo unaweza Kwa kipato chako.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.



Narudia kipato chako sio kiwango cha pesa ulizokopa au ulizosave kwenye bank account yako maana kwenye ujenzi sio kitu cha ajabu Kwa bajeti kuisha huku kazi bado sana sasa hapo kinachofuata ni kipato chako ndio kimalizie mjengo .

Sasa kama ulikopa 100 mil ukaamua kujenga ghorofa alafu pesa inakata utajikuta pabaya sana maana benk wanakudai payment na nyumba inahitaji pesa kuendelea. Mimi wakati naanza kujenga nilikuwa na milioni 150 yote ili kwisha na nyumba bado sana sasa hivi natumia mshahara wangu kujenga .

It’s not easy lakini na make progress kubwa kila mwezi . Nondo ni hatari sana especially Kwa ghorofa . So jenga kulingana na kipato sio saving amount. Hapo ndio nimefikia sasa nilianza miezi mitano nyuma . Na natarajia kumwaga zege ya mwisho weekend ijayo.
 
Unasema kweli, ujenzi siyo kupanga tofali na kupaua, wakati unamaliza kupaua ndio utajuwa ujenzi unavyohitaji maandalizi ya mapema.
 
Unakaribishwa kufanya kaz nasi.ukifikia hatua ya finishing kuanzia board had rangi karibu call/WhatsApp 0757735884 au tembelea ukurasa wetu Instagram highland_decor_solution
 
Tulisha sema kukenga no yoga wa maisha. Full Stop

Na kama moaka hapo ulipofikia umetumia 150M umepigwa sana.
 
Mbona kama naona wavu za madirisha ndio zinageuka nondo za slab?

This is strange....kwanini usiweke nondo?
 
Hizo nondo tu zilizolala hapo uswahilini unajenga nyumba. Zipo technology za kisasa Ili kupata floor sio lazima utumie nondo. Sababu kama ni nyumba tu ya kuishi haitaji mzigo mzito.
 
Gharama zote za kutengeneza hizo ngazi za mbao za nini wakati ungetumia portable winch kupandisha zege na mizigo juu
 
150 nyumba ya kuishi, kijana wa kihindi anapanga then milioni 150 anaitupia kwenye biashara inazunguka, then mnakuja kulalamika eti Wahindi kwann washikilie uchumi wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…