Ushauri kwa vijana wenzangu, Kama upo single endelea kuwa single, achana na mahusiano

Ushauri kwa vijana wenzangu, Kama upo single endelea kuwa single, achana na mahusiano

SIJALETA MALALAMIKO, KUNA SEHEMU YOYOTE NIMELALAMIKA?

Huu ni ushauri tuu, na sio mwanamke mbaya, huwaga ana siku zake tuu anakuwa kama amevurugwa.
Yupo period labda

Kwahiyo wewe ke wako amekuvuruga basi unaamua kushawishi wenzio wawe single siku za mvurugiko zikiisha utucheke tunavyolala peke yetu kama mifugo!!!

Kama hayupo hivyo siku zote haikufaa kuleta hii mada
 
Back
Top Bottom