Ushauri kwa vijana wenzangu, Kama upo single endelea kuwa single, achana na mahusiano

Ushauri kwa vijana wenzangu, Kama upo single endelea kuwa single, achana na mahusiano

Nawasindikiza na wimbo

Kwani mi nani nani nani nna nini mimi

1000012879.jpg
 
Yani unazidi kuonyesha ulivyo dhaifu, tatizo lipo pale kwenye kuambia wengine wawe single kwa shida za udhaifu wako mwenyewe
Kama kumsaidia mtu ni udhaifu, bac naupenda huo udhaifu.

Nime-deal na wanawake wengi, mwanamke mwongo namjua, mwanamke anayetaka kuni-exploit namjua, huyu sio muongo wala hana nia mbaya, sema tuu insecurity zake ndizo zinanichosha.
 
Yupo period labda

Kwahiyo wewe ke wako amekuvuruga basi unaamua kushawishi wenzio wawe single siku za mvurugiko zikiisha utucheke tunavyolala peke yetu kama mifugo!!!

Kama hayupo hivyo siku zote haikufaa kuleta hii mada
Kumbe anatania🤣🤣🤣🤣
 
View attachment 3120208
View attachment 3120209

Baada ya kuona sijibu message alipiga simu akaanza kulalamika.

Kama upo single baki tuu kuwa single, maana usipotoa shida ukitoa shida vilevile.
Wala usijali, ndio Wanawake walivyo! Very soon atakuomba msamaha, ni hali Tu huwa zinawapata na huwa ni nje ya uwezo wao. Sasa unarudi umechoka, mnalala kwa amani kabisa, asubuhi unaambiwa mtoto hatachukuliwa na school bus hujalipa school fees! Na haitakiwi cash , inalipwa bank na mtoto aende na slip hahahahahahaa
 
Kama kumsaidia mtu ni udhaifu, bac naupenda huo udhaifu.

Nime-deal na wanawake wengi, mwanamke mwongo namjua, mwanamke anayetaka kuni-exploit namjua, huyu sio muongo wala hana nia mbaya, sema tuu insecurity zake ndizo zinanichosha.
Hizi sifa ungeandika kule juu, kwenye mada, kiufupi hapa wewe ndie tatizo kumuacha huwezi, unatimiza maombi yake ya kipesa ataachaje kuomba!! La kushangaza unasisitiza vijana wawe single kivipi yani wakati wewe umeshindwa?
 
You are the weak man
 Sawa
Unachohubiri wewe kimekushida kukiishi.
Kipi hicho nilichohubiri? As far as remember nimetoa tuu a simple advice to single men
Then next time MTU akiomba hela ya umeme mtumie hela na sio tokens.
 Sawa
Huyo mwanamke Anaoneka anategemea aombe huku na huku ndo mambo yaende
Hapana
Ku-expose charting zake sio busara grow
Hakuna private details zozote zinazo-onekana hapo
 
Back
Top Bottom