Ushauri kwa vijana wenzangu, Kama upo single endelea kuwa single, achana na mahusiano

Ushauri kwa vijana wenzangu, Kama upo single endelea kuwa single, achana na mahusiano

Wewe ni kijana mpumbavu, unafikiri hiyo meseji umetumiwa peke yako hiyo imeforwadiwa kwa SIMPS hata 10 kutia ndani wewe

Muwe mnawakumbuka na mama zenu kuwatumia pesa, huyo binti hauna jukumu la kumhudumia kwa lolote sio mkeo.

Don't play fatherly or husband role on a girlfriednd

Wewe ndio wa kushauriwa uache huo ujinga umefanya
 
Wanaume skuizi nanyinyi mmezidi uchoyo hee! Chukulia tu kama sista ako umeme wa 5000 tu si sadaka hio jamani! Mtusimange tukianza kuomba labda laki... ila izi afu 10 afu 5 afu 20 mbona ni hela zenu za kubetia tu mnampa mpaka Manchester united inaliwa na hamuumii! Hebu badilikeni jamani Wababa/wakaka/wadogo zangu eeh mbona mambo ya kawaida tu!
Muache akiwa hana adabu na mzinzi sio kwasababu za kiutunzaji mana hata mngezaliwa mwaka 60 miaka ya 80 mngekua mshaoa nanmajukumu tele!
 
kiufupi hapa wewe ndie tatizo kumuacha huwezi,
Kuachana na wanawake anayekupenda sio mchezo
unatimiza maombi yake ya kipesa ataachaje kuomba!!
Nishasema mara nyingi, hili sio tatizo na hii sio point ya huu uzi, point ya huu uzi ni insecurity na vibweka vya wanawake zinazosababisha psychological torture kwa wanaume wengi.
La kushangaza unasisitiza vijana wawe single kivipi yani wakati wewe umeshindwa?
Kushindwa kitu haimanishi huwez kumshauri mtu, kuna psychiatrists wengi tuu wanashauri watu kuhusu ndoa huku wao wenyew wameachika
 
View attachment 3120208
View attachment 3120209

Baada ya kuona sijibu message alipiga simu akaanza kulalamika.

Kama upo single baki tuu kuwa single, maana usipotoa shida ukitoa shida vilevile.
KISA CHA MFALME NA MVUVI MWELEVU:

Siku moja, Mfalme alipata hamu ya kula Samaki na akaamua kutembelea ufukweni mwenyewe. Siku hiyo ikawa Samaki hakuna Wavuvi wote wamekosa Samaki.

Wakati anarudi Nyumbani na wafuasi wake ndipo akakutana na Mvuvi mmoja tu aliyebahatika kupata Samaki Watatu 3 tu

Mfalme akataka kuwanunua Samaki wale, Mvuvi yule alikataa kuwauza Samaki wake.
Mfalme akaomba auziwe japo Samaki mmoja, lkn Mvuvi alikataa.

"Mvuvi akamwambia Mfalme huyu Samaki Mmoja anaenda kumkopesha sijui kama Nitalipwa,

Na Samaki wa Pili, naenda kulipa Deni Na sijui kama nitalimaliza

Na huyu Samaki wa Tatu naenda kumtupa

Mfalme akachukizwa Sana, kwa majibu yale ya MVUVI na akaamuru anyang'anywe wale samaki nae atupwe Gerezani.

Akiwa kwenye KASIRI lake, Mfalme akaamuru yule Mvuvi aletwe mbele yake ili amuhoji vizuri,
Kwanini amekataa kumuuzia wale samaki wakati ulisema mmoja unaenda kumkopesha tena hujui kama utalipwa!

Wa pili unaenda kulipa Deni na hujui kama utalimaliza!

Na Kisha Samaki wa Tatu unaenda kumtupa wakati mimi nina shida na Samaki!

Mvuvi akamjibu Mfalme kama ifuatavyo:
Samaki wa kwanza:
Huyu ninae kwenda kukopesha sijui kama nitalipwa naenda kuwapatia Wanangu,
Kwani kuwahudumia watoto hujui kama na wao watakuhudumia.
Samaki wa Pili:
Samaki huyu nilikuwa nakwenda kulipa Deni sijui kama nitalimaliza Nawapelekea wazazi wangu.
Kwa waliyonitendea siwezi kuwalipa hata niwape nini!

Samaki wa Tatu:
Samaki huyu niliyekuwa nakwenda kumtupa, ilikuwa naenda kumpa Mke wangu

Kwani wengi wao hawajui kushukuru wala kutosheka, hata uwape nini Siku akicharuka tu atasema hujamfanyia chochote tokea Umuoe.

MFALME yule ALICHOKA kwa Maelezo ya MVUVI

Unapojibiwa TAFAKARI KWANZA
 
Kuachana na wanawake anayekupenda sio mchezo

Nishasema mara nyingi, hili sio tatizo na hii sio point ya huu uzi, point ya huu uzi ni insecurity na vibweka vya wanawake zinazosababisha psychological torture kwa wanaume wengi.

Kushindwa kitu haimanishi huwez kumshauri mtu, kuna psychiatrists wengi tuu wanashauri watu kuhusu ndoa huku wao wenyew wameachika
Mi mtu hawezi nishauri kitu ambacho yeye kakishindwa, kesho kuna ombi la wengine usiache kuwatumia ila tabia ya kushauri watu wawe singo wakati wewe unazo 3 ni roho ya kichawi uache
 
Wanaume skuizi nanyinyi mmezidi uchoyo hee! Chukulia tu kama sista ako umeme wa 5000 tu si sadaka hio jamani! Mtusimange tukianza kuomba labda laki... ila izi afu 10 afu 5 afu 20 mbona ni hela zenu za kubetia tu mnampa mpaka Manchester united inaliwa na hamuumii! Hebu badilikeni jamani Wababa/wakaka/wadogo zangu eeh mbona mambo ya kawaida tu!
Muache akiwa hana adabu na mzinzi sio kwasababu za kiutunzaji mana hata mngezaliwa mwaka 60 miaka ya 80 mngekua mshaoa nanmajukumu tele!
Sister soma vizur, huu uzi hauhusiani na lawama za kuombwa hela, nime highlight insecurities na vibweka vya wanawake hata ukifanya kitu kizuri.
 
Mnayaendekeza wenyewe, usingenunua alale gizani angekufa?
Alale gizani wapii?

Hivi mkuu haujawahi kuwafungulia msg group watu flani flani kisha ukawaandikia msg moja ikarushwa randomly na kuleta majibu mbali mbali kwa wakati tofauti?

Mwingine: ... 'Umeona salio?' , mwingine: 'tatuma jioni',
Mwingine: 'njoo uchukue' nk nk.

Yaani msg aliyoipata yeye, ilipatwa na mwingine na mwingine tena kwa muda ule ule.

Sasa katika group hilo yawezekana mwingine anahonga pakubwa na kula padogo, ndiyo maana majibu ya bibie yakawa ya kiburi.

Ukiona panya anacheza karibu na paka elewa shimo lipo karibu hatua sifuri.
 
Mnayaendekeza wenyewe, usingenunua alale gizani angekufa?
Katika mazingira ya hvo unamsaidia tu asikae gizani, tena hamna raha kama ya kumsaidia kutatua changamoto za hivo kuliko kuambiwa "Mpaji naomba nisaidie nina shida ya 250k" kitu hakieleweki
 
kesho kuna ombi la wengine usiache kuwatumia
Sema utakavyo, ila wanawake ninaowatumia hela kirahisi ni wale ambao najua ananipenda na sio mwongo, kama sijajihakikishia hivi vitu unaweza kuona mi ni mwanaume mchoyo kuzidi wote duniani
 
Back
Top Bottom