Ushauri kwa vijana wenzangu, Kama upo single endelea kuwa single, achana na mahusiano

Kwahiyo wewe ke wako amekuvuruga basi unaamua kushawishi wenzio wawe single siku za mvurugiko zikiisha utucheke tunavyolala peke yetu kama mifugo!!!

Kama hayupo hivyo siku zote haikufaa kuleta hii mada
Wala hata.

Hujui ni mara ngapi nimejaribu kujitoa kweny mahusiano niliyokuwa nayo, lakini nimeshindwa, kwa wote watatu, huwez amini, nyie viumbe sikuiz mmekuwa ving'ang'anizi sana.

Mtu namuonesha kabisa nina mwanamke mwingine ila anakomaa tuu, anakasirika kama wiki haongei na mm wiki nzima, then baada ya hapo anaanza kunitafuta anasema sawa tuu atakuwa mke mwenzangu, hadi nimechoka sasa.

Ndio maana nimetengeneza huu uzi, kwasababu nimemiss ile hali ya kuwa single.
 
Unao watatu na unataka wengine tusiwe hata na mmoja!!! Huo ni ubinafsi,

Wanakung'ang'ania sababu ni mwepesi wa kuingizwa kwenye mfumo km hivyo umeme umenunua halafu unidanganye unataka kuwaacha ila unashindwa!! Unajichanganya kweli hujui nini unakitaka
 
😅😅😅

Labda mi ni mwepesi siwez jua, ila ninachojua ni kwamba siwez kumwacha mtoto wa kike alale giza wakati I have a coin to spare.
 
Unao watatu na unataka wengine tusiwe hata na mmoja!!! Huo ni ubinafsi,

Wanakung'ang'ania sababu ni mwepesi wa kuingizwa kwenye mfumo km hivyo umeme umenunua halafu unidanganye unataka kuwaacha ila unashindwa!! Unajichanganya kweli hujui nini unakitaka
Jamaa anatupanga huyu. Umeme ananunua alafu anadai anataka kuwaacha.
 
Back
Top Bottom