Ushauri kwa vijana wenzangu, Kama upo single endelea kuwa single, achana na mahusiano

Ushauri kwa vijana wenzangu, Kama upo single endelea kuwa single, achana na mahusiano

Broo kama umeoa sawa, ila kama bado hujaoa ngoja tuu nikwambie huwez kuishi kweny mahusiano bila kutoa viela, hasa mahusiano ya sikuiz.

Kwaio mzee unataka awe ananipa tuu tako bure mimi nisichangie chochote, hata hela sabuni ya kuosha hilo tako analonipa nayo nisitoe? Mambo madogo-madogo kama haya unatoa tuu mzee kwasababu 5k sio hela ya kawaida sana.
Kwani wewe humpi Dungu ? Kwanini mnafanya kama mapenzi ni suala la upande mmoja tu ? Raha mnapata wote kwanini wewe ndo uelemewe na mzani wa kugharamia Penzi ?

Ukishajijibu hayo maswali utakuwa umepiga hatua moja ya kuachana na ujinga uliokumbatia kichwani mwako.
 
nilicho highlight ni kitendo cha wanawake kuwa na insecurities na lawama hata ukifanya jambo zuri, nafikiri umenielewa.
Iko hivi mwanamke utamtumia pesa leo atakujibu
"Tnx babe nimeona love u"

Mlivyo wajinga Simps ndio mnafurahia mnaona mnapendwa wenyewe sio?

Kesho akikuomba ukasema hauna hakuiti tena babe. Atakutext
"Hiyo hela unatuma au hautumi?"
Na ndio jambo linalofanana na hili limetokea kwa huyo mwanamke wako

Mwanamke anaweza kutoka kukuambia "I love you" na akabadilika ndani ya muda mfupi na kukwambia "I hate you"

THE MORAL OF THE STORY: Usitake kumfurahisha mwanamke hata siku moja kwa pesa na zawadi.

If you have to spend on woman to prove how much you love her, you're dating a prostitute

Invest wisely or cry later, your choice

Learn or perish
 
Kwaio mzee unataka awe ananipa tuu tako bure mimi nisichangie chochote, hata hela sabuni ya kuosha hilo tako analonipa nayo nisitoe? Mambo madogo-madogo kama haya unatoa tuu mzee kwasababu 5k sio hela ya kawaida sana.
Lini mara ya mwisho alikutoa mkaspend as a lover supposed to?

Foolish lover boy

Kama anakupa K. Na wewe mpe dick

Kama anakuspoil na vizawadi vya hapa na pale. Na wewe mspoil with gifts

She spends on you. You spend on her

She ghosts you. You ghost her

Life is simple


Always match her energy. Don't overdo anything to please her
 
Tatizo haka kamdudu kanazinguaga sana Aisee!!! Mtu umelala unautafuta usingizi kenyewe kamesimama wima tu! Alfajiri kbl hujaamka kenyewe kitambo kashakutangulia kamesimama wimaa tuu!! Dah! Aisse!!

Huko mitaan Sasa ndo usiseme na hizi nguo za Dada zetu siku hizi mmmh!! 😋

Ukweli unakaba koo
 
Kuna mmoja leo katoboa pua alafu ni litoto lina mwili...

Picha linaanza akajua mimi ninazo kumbe mwenzangu na mie nategemea kwa ma mdogo..

Et anataka nimnunulie shart za 12k kama tatu hivi..

Hapa nina mpango wa ku block.
Hata kama mapenzi kughalamia ila huyu anataka kunifanya source of income live live manina zake .

Wakati mashangazi hayana haya mambo..
 
Mbona hayo uliyopost ni maisha ya kibachelor.. ungekuwa naye ndani gharama zinapungua..

ila sasa inabidi uachane na hasira maana hawa watu naona kuna kitu waga kimepungua kichwani
 
Hahah😅, nikushauri kitu, jipanguse ukanyonye mboo ya baba ako akupe nauli ya kwenda kwa bwana wako maana hana hela ya kukutumia.
Wanajamii hatutukanani hivo kishamba tengua kauli mwanetu babu yangu aliwah kuniambia "kamwe mjukuu wangu usijibizane na mwanamke ukitaka kutunza heshima yako"
 
Kwanini usingemtumia tu hiyo pesa bro?
5k umemkazia hivi, Usirudie tena hiyo mistake Gentleman
 
Back
Top Bottom