kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,921
- 7,173
Ushauri wako ni wa msingi, vijana wenzio wazingatie.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe humpi Dungu ? Kwanini mnafanya kama mapenzi ni suala la upande mmoja tu ? Raha mnapata wote kwanini wewe ndo uelemewe na mzani wa kugharamia Penzi ?Broo kama umeoa sawa, ila kama bado hujaoa ngoja tuu nikwambie huwez kuishi kweny mahusiano bila kutoa viela, hasa mahusiano ya sikuiz.
Kwaio mzee unataka awe ananipa tuu tako bure mimi nisichangie chochote, hata hela sabuni ya kuosha hilo tako analonipa nayo nisitoe? Mambo madogo-madogo kama haya unatoa tuu mzee kwasababu 5k sio hela ya kawaida sana.
nilicho highlight ni kitendo cha wanawake kuwa na insecurities na lawama hata ukifanya jambo zuri, nafikiri umenielewa.
Kwaio mzee unataka awe ananipa tuu tako bure mimi nisichangie chochote, hata hela sabuni ya kuosha hilo tako analonipa nayo nisitoe? Mambo madogo-madogo kama haya unatoa tuu mzee kwasababu 5k sio hela ya kawaida sana.
Hahaha au siyoNamzungumzia huyohuyo, wewe na ujanja wote huo unakuwaje mjinga!! Ila jamaa kajua kuwaumbua hajagi kwenye vikao huyu doja huyu
Mjinga huyu jamaa anatuambia tujipige selfie kwa sababu ya makosa yake ya kuokota wanawake masikini uko mitaaniUnashauri vijana wabaki singls wapige nyerere😂kambarage 14
Wanajamii hatutukanani hivo kishamba tengua kauli mwanetu babu yangu aliwah kuniambia "kamwe mjukuu wangu usijibizane na mwanamke ukitaka kutunza heshima yako"Hahah😅, nikushauri kitu, jipanguse ukanyonye mboo ya baba ako akupe nauli ya kwenda kwa bwana wako maana hana hela ya kukutumia.