Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Na anao watatu 😅😅😅 ila wanaume ni wajinga jamaniNikasirike kwa lipi? Wewe umeleta makasiriko yako humu sisi tunakuondoa ujinga kwenye medula hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na anao watatu 😅😅😅 ila wanaume ni wajinga jamaniNikasirike kwa lipi? Wewe umeleta makasiriko yako humu sisi tunakuondoa ujinga kwenye medula hilo
Sihivyo mkuu, umeninukuu vibaya mwaya, 'jamaa flan flani' waweza kuwa washikaji wa kawaida tu ama vyovyote.Sijawahi hivi mnadhani wanawake wote tunaendekeza njaa km hivyo vimada vyenu?
Wache wenzakoWivu wa efu 5!!! Aiii nakufa
🤣🤣🤣 nimeshangaa sana kaja kulalama humu halafu anajifanya kuwashauri wenzake. Tatizo la vijana wa sasa wanashindwa ku-control nyege mshenzi. Halafu anataka kumvimbia malaya aonekane anajiweza, hii ni ishara ya usimp. Wenzako wakikataa wanamaanishaPiga hiyo mbuziiii😅😅😅😅😅yani katoa kwa genye zake halafu anakuja humu kulalama, ukimbana anasema ooh mi sijamaanisha hivyo bla bla bla blaaaa
Ila sio wanaume wote na wewe KapeaceNa anao watatu 😅😅😅 ila wanaume ni wajinga jamani
Yani ni hivi ukiombwa hela ukatoa kausha,, sababu wew mtoaji ndo boya lenyewe,Sihivyo mkuu, umeninukuu vibaya mwaya, 'jamaa flan flani' waweza kuwa washikaji wa kawaida tu ama vyovyote.
Mfano mimi nimewagroup wadogo zangu, hurusha msg moja tu 'zasubui', majibu nayapata rundo.
Ndoivo
Kwa akili hizi! Sipati pichaukimbana anasema ooh mi sijamaanisha hivyo bla bla bla blaaaa
Ndioo maana wengi wanataka ndoaKutoa ushauri sikuiz ni kulazimishana?
Akili zipi za kuomba efu 5 ya umeme😅😅😅Kwa akili hizi! Sipati picha
Huu uzi sio wa lawama za kuombwa hela, nimelenga insecurities na mtatizo ya wanawake hata ukifanya jambo zuri
Kuna bint nilikua namfukizia sasa ,siku kadhaa baada ya kukubali akaniomba elfu 10 amekwama nikamwambia poa nakuwekea ,zikapita kama dakika 10 nilikua na mambo yangu sasa wakati ninachukua simu nimtumie ikaingia sms kutoka kwake "Asante mpenzi nimepata💕" . Nikaguna nikamtext "mimi mbona bado sijakutumia hela" akakaa kama dk 2 akapiga ohh simu alikua nayo shoga yangu alikua anamtumia sms bwana wake ndo amekosea samahani ,nikamjibu "nenda kadanganye malofa wenzio" ndo ikawa mwisho wetu.No money..no honey...ikifika TURN YAKO IKAMIE ...huyu kwa uzoefu wangu mpo kama mtu 10...
Haya sawaWache wenzako
Cheka tuu mwaya, huwez jua labda maisha yako hayafurahishi.Akili zipi za kuomba efu 5 ya umeme😅😅😅
Ya kwako yanafurahisha maana kuja kumuanika demu wako humu alivyo omba omba!! Wa afu 5 ya umeme!!!! 😅😅😅😅halo haloooCheka tuu mwaya, huwez jua labda maisha yako hayafurahishi.
Leo mmenifurahisha mnapiga penyewe kwwnye mshonoSisi tunadeal na wewe tu
Mara ya mwisho kumtumia mama yako hela ni lini?
Huyo mwanamke uliyemnunulia umeme wa elfu 5 ni mkeo?
Unafikiri kati ya wewe na baba yake ni nani hasa alipaswa amnunulie umeme?
Mama yangu hana shida na hela, labda anipe yeye.Sisi tunadeal na wewe tu
Mara ya mwisho kumtumia mama yako hela ni lini?
Huyo mwanamke uliyemnunulia umeme wa elfu 5 ni mkeo?
Mnayaendekeza wenyewe, usingenunua alale gizani angekufa?
View attachment 3120208
View attachment 3120209
Baada ya kuona sijibu message alipiga simu akaanza kulalamika.
Kama upo single baki tuu kuwa single, maana usipotoa shida ukitoa shida vilevile.
Yan mkuu umemwekea umeme kumbe chumbani kwake kuna jamaa anataka aione mbususu ya demu wako vizuri kwenye mwanga na feni wamewasha🤣kwahyo hyo hyo 5000 yako ya umemeView attachment 3120208
View attachment 3120209
Baada ya kuona sijibu message alipiga simu akaanza kulalamika.
Kama upo single baki tuu kuwa single, maana usipotoa shida ukitoa shida vilevile.