Ushauri kwa viongozi wote ktk nyanja zote najuwa mwajuwa ila nasisitiza

Ushauri kwa viongozi wote ktk nyanja zote najuwa mwajuwa ila nasisitiza

Michael mbano

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2022
Posts
820
Reaction score
572
Binadamu ni mtu anayependa kupata fursa ya kusema ili awe na amani,ndg viongozi msijisahaulishe wala kupuuzia mnapoongoza watu wapeni nafasi ya kujadili,kukosoa,na kushauri na haya yote yafanyike kwa uhuru kamili.

Mimi nimewahi kuongoza ktk taasisi ya serikali nilipokuwa natenda haya mambo yalikuwa yanaenda sawa bila kinyongo.Na hata sasa naongoza kikundi flan binafsi yani hata pale viongozi tukikosea tunaruhusu mjadala wa ukosoaji huru na kuanza vema tukiwa wamoja.

Msipofanya haya na yafananayo hakika mtamaliza tatizo kwa muda wakati mnakuwa mmefanya watu kuweka hasira na chuki.Mwisho wa siku hema linakuwa linamatundu hatimaye wadudu mbalimbali huweza kuingia.Asante
 
Back
Top Bottom