source..???
source..???
wewe mwanaume mzima na nywele kila sehemu unasoma masomo ya kike(arts)!...afu ukiwa humu na wewe unajiita mwanaume!!...me naona wasiyaajiri manamume ya arts!...atleast wanawake ina make sense!
Acha uwongo labda uniambie hawana pesa ya kuwaajili, walimu wa masomo yote Tz bado ni tatizo kubwa, kuna baadh ya shule hakuna hata hao wa ksw na histy, walimu asiwadanganye uyo
Nimecheka sana,
Alafu hata kama hawaamini,
Ukweli ndio huo.
Ujinga mtupu,walimu wote bado wanahitajika kwa ratio sawa,so acha kuwarusha roho wenzio!
Umekurupuka na kuamua kupost tu....
killa,Acha uwongo labda uniambie hawana pesa ya kuwaajili, walimu wa masomo yote Tz bado ni tatizo kubwa, kuna baadh ya shule hakuna hata hao wa ksw na histy, walimu asiwadanganye uyo