USHAURI:kwa Waalimu wa kiswahili na historia, jiandaeni kisaikolojia.

USHAURI:kwa Waalimu wa kiswahili na historia, jiandaeni kisaikolojia.

Dj-kobo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
458
Reaction score
193
Habari ya leo wadau,
napenda kutumia fursa hii kuwashauri waalimu wa masomo tajwa hapo juu, kwa mjibu wa mnyetishaji wangu kutoka wizara ya elimu ni kwamba safarii hii hawataajiri walimu wa histori na kiswahili kwasababu kwa sasa demand kubwa ya waalimu ni wa masomo ya sayansi, English na jiografia. Kipao mbele kitakua kwa masomo ya sayansi, English na jiografia halafu baadae watafikiria wale wa masoma ya hist na kisw.kwahiyo jaman muanze kabisa kujiandaa kwa lolote maana ukweli ndo huo.
 
Ujinga mtupu,walimu wote bado wanahitajika kwa ratio sawa,so acha kuwarusha roho wenzio!
 
Acha uwongo labda uniambie hawana pesa ya kuwaajili, walimu wa masomo yote Tz bado ni tatizo kubwa, kuna baadh ya shule hakuna hata hao wa ksw na histy, walimu asiwadanganye uyo
 
wewe mwanaume mzima na nywele kila sehemu unasoma masomo ya kike(arts)!...afu ukiwa humu na wewe unajiita mwanaume!!...me naona wasiyaajiri manamume ya arts!...atleast wanawake ina make sense!
 
wewe mwanaume mzima na nywele kila sehemu unasoma masomo ya kike(arts)!...afu ukiwa humu na wewe unajiita mwanaume!!...me naona wasiyaajiri manamume ya arts!...atleast wanawake ina make sense!

una umri gani kwani?maana nisije nikadhani ni mtu mzima umeandika huu ujinga kumbe ni katoto ka chekechea?
 
Acha uwongo labda uniambie hawana pesa ya kuwaajili, walimu wa masomo yote Tz bado ni tatizo kubwa, kuna baadh ya shule hakuna hata hao wa ksw na histy, walimu asiwadanganye uyo

sasa wew jifariji utakiona cha moto,ene weiz huu ni ushauri wa bure jamani mwenye kusikia na asikie
 
Ujinga mtupu,walimu wote bado wanahitajika kwa ratio sawa,so acha kuwarusha roho wenzio!

ww senata,acha ujinga, nia yangu sio kuwarusha roho. Sasa wewe baki ivoivo na-usenata wako
 
Ninachofahamu(baada ya kuambiwa na mtu aliyeko jikoni) ni kwamba, wale walimu wa somo moja watachukuliwa kidogo then baada ya awamu ya kwanza kureport basi wataongezwa baadae kulingana na ukomo wa bajeti. Lakini kuhusu BAED majina yao wote yako kwenye orodha ya ajira awamu ya kwanza.
 
Acha uwongo labda uniambie hawana pesa ya kuwaajili, walimu wa masomo yote Tz bado ni tatizo kubwa, kuna baadh ya shule hakuna hata hao wa ksw na histy, walimu asiwadanganye uyo
killa,
dont u know how daft you are? Acha mawazo mgando
 
una umri gani kwani?maana nisije nikadhani ni mtu mzima umeandika huu ujinga kumbe ni katoto ka chekechea?

Mkuu Seneta001 msamehe bure, ukiona thread zake utajua ni katoto kabisa hako!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom