Habari ya leo wadau,
napenda kutumia fursa hii kuwashauri waalimu wa masomo tajwa hapo juu, kwa mjibu wa mnyetishaji wangu kutoka wizara ya elimu ni kwamba safarii hii hawataajiri walimu wa histori na kiswahili kwasababu kwa sasa demand kubwa ya waalimu ni wa masomo ya sayansi, English na jiografia. Kipao mbele kitakua kwa masomo ya sayansi, English na jiografia halafu baadae watafikiria wale wa masoma ya hist na kisw.kwahiyo jaman muanze kabisa kujiandaa kwa lolote maana ukweli ndo huo.