financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Wadada say no kuwa michepuko, Mungu alimuumbia kila mdada na baby wake, why kuchukua mume wa mtu.🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Write your reply...utopolo tu....na hii iwafikie michepuko wote Mali za kuchukua kutoka kwa waume za watu hutokea matakoni......ni laana tupu na hazidumu!...trust me....unakula michesho ya kuku huku nyumbani mume hajaacha chochote au kaacha kisichotosheleza wewe mchepuko unajiona mjanjaaaa kumbe yuko MUNGU na ardhi inakurekodi utaolewa na mume wako atachepuka! utalia mbele za Mungu na ardhi itakushitaki...# kataa dhambi ya kuwa mchepuko ni laana kama laana nyingine.
Well said mkuu.Huwa naona mwanaume ni mpumbavu hasa yule anajisifia kua na mchepuko wakati teyari yuko katika ndoa.
Inaonesha jinsi gani mtu unaye ishi naye huna hisia, ndio maana hujutii ata kimoja unachofanya kwake. Ila unaogopa kuvunja ndoa kisa jamiii itakuonaje
Mbona anatufokea Sasa?Wanawake msikilizeni mwenzenu anawapa ushauri
Yaani CCM hii!!!Mwanaume anashauri mwanamke akae kimkakati apige hela, mwanaume huyu huyu baadae anapiga uturn kusema sema wanawake wanapenda hela. Ila CCM Mungu anaiona kwakweli!!!!
Ahahahaha anatumia spika labdaMbona anatufokea Sasa?
Uyu Ni snitch, apuuzwe[emoji34]Mwanaume anashauri mwanamke akae kimkakati apige hela, mwanaume huyu huyu baadae anapiga uturn kusema sema wanawake wanapenda hela. Ila CCM Mungu anaiona kwakweli!!!!
Mkuu ni maumbile ya mungu ,tizama wanyama wengine utagundua mume ni wa wengi ,pia Mungu huyo huyo kila jamii wanawake ndo wengi zaidi kuliko wanaume Naamini yeye ni genious anamambo yake.Asilimia kubwa ya watu wamezaliwa nje ya ndoa na tunakubaliana kila mwanadamu ni mpango wa mungu .mfano jamii ingekuwa haina malaya wa kujiuza vijana waliozaliwa na sura mbovu na vilema wangebidi wawabake binti zako wa primary,lakin wakienda ambiance wanalala na pisi kali kwa 10k nao wanakuwa na furahabkwenye jamiiWadada say no kuwa michepuko, Mungu alimuumbia kila mdada na baby wake, why kuchukua mume wa mtu.🤔
Amka aisee kutoka kwenye hii ndotoWadada say no kuwa michepuko, Mungu alimuumbia kila mdada na baby wake, why kuchukua mume wa mtu.[emoji848]
Mkuu kitendo cha kutosoma hadi mwisho kisha kujibu nahisi si ww mtoto alikuwa anachezea simu.Nilikua sijasoma mpk mwisho,
Kumbe mtoa mada nae mwanachama[emoji4]
Sasa chuki ya Nini mkuu?
Wee Kama yamekushinda Si utulie TU mwnyw na mkeo mkuu?
yanini kutiliana michanga Hadi kwenye vitumbua vya wenzio mkuu?
Kwenye bajeti yangu cha matumizi kuna kipengele nakiita Kumwagilizia roho account,hizo za watoto ,mke hadi dada zangu zipo ,hapa nawashauri watumie kifungu chao kwenye bajet yangu kwa faida ,huu ni upendo wa dhat ni watu pia wanastahili maisha na heshima kama nayompa mke wangu kutoka kwa wanaume wao wa futureIzo pesa unazowahonga michepuko ungefungua account ukawatunzia wanao zinhekusaidia sana wacha yakukute.
AiseeKwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza kwa huduma ya penzi lenu mwanana hakika mna mahala penu mbinguni.
Ushauri niliowaitia hapa ni kuwa dada zangu mnajisahau sana:
1. Unapokuwa mchepuko tambua kuwa wewe ni wa mda mfupi kwa msela, hivyo kaa kijanja ,uwezekano wa mchepuko kuzidi miaka mitano huwa mdogo, dada mtumie huyo kujijenga kiuchumi au kimaarifa ukiwa naye, mdada anakusimulia et jamaa ananipa laki 5 za matumizi kila mwezi siwezi muacha, mimi nilidhani uje na mikakati ya kuhakikisha unaweza kuishi bila yeye, yaani save fikilia biashara hizo laki tano ukiingiza kila mwezi laki 3 kwenye duka lako la nguo baada ya 3yrs siku anaondoka unaenda kulilia hotel Zanzibar.
2. Ukiona anakupa thamani kuliko mkewe basi dada jua unadate na muhuni, mama hata akikuoa ww atathamini wengine, hebu epuka dhambi zisizo na lazima plz kuwa mwanamke mwema kataa hizo mambo kumfungia mme wa mtu weekend nzima ni raha kwako ila dada kuna maisha baada ya kufa, amekupenda msaidie akili yako maana yake hana.
3. Usiache kuyapangilia maisha yako nje ya mume wa mtu, waza utaolewa na nani unataka nini kwenye maisha na ujue yeye hayupo kwenye maisha yako ni rafiki tu wa faida
KWANINI NIMEPANIC KUSHAURI?
Mimi mme wa mtu na watoto 3 na naipenda familia yangu kuzidi chochote, katika miaka 12 ya ndoa hii nimebadili michepuko 6 ila mke ni huyu huyu, maishani nimejaliwa kupata michepuko smart yote hakuna asinipigia simu na kunimisi wawili leo ni wake za watu na wanahela kunizidi na mm wanakiri ndo nimewaonesha njia.
Haba juzi kati nlipata ka-single mother nikakaelewa kukala mala mbili tatu nikaomba nijue maisha yake, ni kwamba msela alimzalisha kwa kuzuga anatoa mahali alitoa hadi uchumba akatoka nduki, dada kapanga uswaz ana binti wa miaka 7, basi nikamueleza mm nataka awe mchepuko wangu ila sitaki uzazi nataka tustarehe ila in return nitajenga maisha yake, nikamtoa chumba cha Tshs 25 uswazi huko nikamhamishia eneo nikalipa Tshs 60 miez 6, kwa kuwa alikuwa anafanya mgahawa ni nkamwambia tafuta eneo nikuwekee kabiashara akapata frame nkalipa ths 300k miez 3 na cash700 afungue nkamuahidi kadili tukijaaliwa nataka auze vinywaji etc nshaongea na msela wangu wa mafriji akanambia tafuta rejeta laki kava atampa shemu wake bure.
Cha ajabu? Dada amehamia kuniganda simu hapa na hapa, juzi kaniibukia baa et toyo wamesema wameniona na mtu, nkamwambia mm mbona sijamkataza akipata mtu wa maana wadumu sina FUTURE naye ikawa valangati, anatuma SMS ooh luku imeisha luku yake mwezi 7000 mtu anauza hadi laki, yaani kifupi hana lengo la kujitegemea ili aamue anidate kwa kunipendea hela au independent.
HITIMISHO
Michepuko tunawapenda sana lakini mnapaswa mjue nafasi yenu, hakuna mwanaume anachaguliwa mchepuko, unampenda mwenyewe ukiondoa penzi na support ya kukufanya ujitegemee huna urithi, hata ukisema tuzae unambania mwanao nafasi ya kufurahia penzi la baba kama nalowapa wana wamke wangu halali, MJITAMBUE.