Ushauri kwa wadada ambao ni michepuko ya waume za watu

Mwanaume anashauri mwanamke akae kimkakati apige hela, mwanaume huyu huyu baadae anapiga uturn kusema sema wanawake wanapenda hela. Ila CCM Mungu anaiona kwakweli!!!!
Si nakushaur upige hela ,hakunaga mapenzi ya utani lasivo utalia,ukimpenda mtu cha kwanza ni kumtakia mazuri ,hiv dada nimekuelewa nakutoa out kila siku tunakula laki na unapanga chumba kimoja uswaz ni dhambi nikikushaur fungua account au cheza kikoba nkulipie baada ya mwaka ufungue saloon yako ya kiume uweke vijana wawili ule 50k daily ya uhakika hata tukitemana tukutane folen ya mafuta shell na ka vits kako ,jaman au nakosea
 

Wanaume wote wanaochepuka kwani wanaweke zao walitembea na wanaume za watu

Mbona kuna wanawake ni innocent kabisaa ila wanaume zao malaya

Hakuna guarantee ya uchepukajii kama janaume ni limalaya hata mke amkute bikira umalaya upo damuni


Endeleeni kuwa michepuko mpk mpate wa kuwaoa asiwakatishe tamaa [emoji12][emoji13]
 
Nilikua sijasoma mpk mwisho,
Kumbe mtoa mada nae mwanachama[emoji4]

Sasa chuki ya Nini mkuu?
Wee Kama yamekushinda Si utulie TU mwnyw na mkeo mkuu?

yanini kutiliana michanga Hadi kwenye vitumbua vya wenzio mkuu?
[emoji1787][emoji1787].
 
nimekupm my wangu 😁
 
Wanaume siyo malaya ni nature yetu jinsi tulivyoumbwa una kuku hapo nyumbani embu mchunguze jogoo

Siku mtakaokubaliana na huu ukweli mtaacha kuumia
 
Noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake watafute shughuli za kufanya waishi Kwa kujitegemea bila kutegemea kuuza K ili waishi mjini.

Wanawake wanapaswa kuwa na financial freedom/independent.
 
Asikwambie mtu mwanamke mwenye ndoa akisikia mumewe anatoka na mchepuko ambao una hela za maana hata uchungu huwa unapoa!

Lakini mke asikie mumewe anatoka Mwanamke ambae ni tegemezi ataumia sana Kwa upotevu wa rasilimali za familia.

Though kuna michepuko pia ambayo utasikia anafanya kazi na chances za kupata hela ni kubwa lakini kwa kule kuwa na tamaa kubwa bado akawa tegemezi kwa Mwanaume wa mtu.

Na wengine wanafanya kazi lakini siyo competents kwenye kazi hivyo because of performing based gains anakuwa hapati kipato cha kutosha though yupo kwenye taasisi au kampuni kubwa .
 
Ujumbe murua huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…