Ushauri kwa wadada ambao ni michepuko ya waume za watu

Ww utakuwa mke wa tu tena mwema .Dada tafadhar shemeji anakipenda ww tu .Ila wanaume lazima kamchepuko dada cha msingi wasijisahau kuwa wewe ndo mama lao malkia na first lady ,haya ya mitaan usijal kaka atapambana kijanja a uzeen atatulia na ww mcheze na wajukuu kwenye dream 🏠 yenu
 
Mpaka hapo nadhani ushajua kwanini jamaa yake alimkimbia.
Jamaa mshenz tu maana kazaa na binamuyake pia ,huyu mtoto ataempata kapata mke labda wanasema u never know when the snake gets pregnant
 
Hapa ngoja niende kwa mchepuko wangu Jessica ukanioshe korodani Kwa maji ya mchaichai.
 
Hujakosea
 
Japo sipendi na sitaki hizi mambo za michepuko
Lkn nakwambia ukweli nimeshuhudia na ndo ilivyo, michepuko,inafunguliwa biashara,inajengewa na nyumbani tunateseka sn tu na mama zetu, na wala havijawatokea puani maisha yanasonga!
Tunaoteseka ni familia,mpk unajiuliza Mungu anaona kweli? Mbona halipi? Wanaendelea kufaidi tu kuliko wa ndani!
Labda vitateseka (watoto)vizazi vyao ila sio wao ndugu
 
Ikitokea umezaa naye, atakuwa mchepuko wa kudumu
 
Hapana mkuu mimi sio tajiri isitoshe mimi na wewe tulielewana vizuri pale.

Shida huyu kunguru ananifusta fuata.
Sio tunakufata nyie mnaojikuta walokole wafia dini sijui mna moral ground ni wachafu kichizi ,wanafki mnatuletea u snitch tu hapa ..nyie ndie mnauza ramani ,nyie ndio mnachoma wana ,wambea tutawapakata shauri zenu wahuni hatuna jema
 
Soma tena post yangu nimesema point ya pili ukiona anakupenda kuliko mkeo,kuna maisha baada ya haya ,nimeshaur usimuweke mume wa mtu weekend ya kukaa na wanae na mke wa mungu kwako ukajidai nkaandika kuna maisha baada ya kufa,nkashaur tumia akili yako kama yy hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…