Ushauri kwa wadada ambao ni michepuko ya waume za watu




Tatizo wanaroga sana hao michepuko ili kuwashika waume za watu!

Sio michepuko yote inaroga lakini wengi wao ni wachawi na walozi sana tu!

Sababu kwa hali ya kawaida wanaona hawawezi kupendwa hivi hivi isipokuwa kwa nguvu ya ziada ya giza!
 
Yani waganga wanasema Dar inaongoza kwa michepuko kwenda kwa waganga kuroga wanaume!

Halafu mbaya zaidi wanataka waume za watu [emoji15][emoji15]



Mjini mnawachelewesha huku kijijini tunawatia vichaa [emoji19]

Atatembea usiku na mchana jua lake mvua yake!

Ndugu zake au watoto wake wataweka zamu ya kutembea naye Kwa miguu usiku na mchana huku wakienda kusikojulikana!

Au unamtia …….,,,,,,,,,,,bila kukata …………
 
Ewe mwanamke uliye kwenye ndoa kama umechagua kusali maanisha, zama kabisa, pania, kusudia kumcha Mungu kiukweli,

Usifate mkumbo au kumcha Mungu kwa mazoea,

Jitoe hasa , maanisha katika kujifunza na kumjua Mungu na kushika Neno lake na kuomba!

Au,

Uwe unatoka kucheki status ya kujua kama mwenzi wako anakosa uaminifu katika agano lenu,


Usioofanya hivyo ukawa vuguvugu basi kuwa tayari Kwa matokeo yatayokujia!

Mambo yako hayataenda sawa maana mchepuko utamroga mume na utakuroga na wewe Pia kupitia huyo mume!
 
Kuna wanaume wachache sana wako very smart always [emoji108]

Mara nyingi wanakuwa watu wa mazoezi regularly Kwa hiyo wanakuwa active !

Mwanaume usikubali kufutwa na mchepuko!

Jifute mwenyewe au wahi bafuni ukanawe au kuoga!

Atachukua hizo kama inputs ya kwenda kukumaliza na pengine hata kuharibu ndoa yako!
 
Wanaume siyo malaya ni nature yetu jinsi tulivyoumbwa una kuku hapo nyumbani embu mchunguze jogoo

Siku mtakaokubaliana na huu ukweli mtaacha kuumia

Nature maana yake nini???

Kwamba uliumbwa malaya

Acheni kujiendekeza Hakuna mwanadamu ambae ameumbwa na Mungu akiwa na tabia chafu kama za umalaya hilo ni liroho la kipepo

Kuwa malaya ni maamuzi yako binafsi haiusiani na nature kabisaa

Wewe kama ni malaya ujue una pepo la ngono ama umerithii ama umeamua mwenyewe

Mungu hajaumba watu wachafu namna hiyo msisingizie
 
Mifano ipo tu kwenye biblia


Kama king Solomon
 
Tatizo wanaroga sana hao michepuko ili kuwashika waume za watu!

Sio michepuko yote inaroga lakini wengi wao ni wachawi na walozi sana tu!

Sababu kwa hali ya kawaida wanaona hawawezi kupendwa hivi hivi isipokuwa kwa nguvu ya ziada ya giza!
Kabisa mkuu
 
No sina shida na post yako! Nimekuelewa vzr tu! U have a point!
Fuatilia niliyemquote kumjibu alicho- comment!
 
Michepuko yenye akili inasaidia sana kutuliza akili ya mwanaume, ila ukikutana na yenye akili kama single mother wa mtoa mada ni kichefu chefu
 
Duh!...kazi kweli kweli
 
Wadada say no kuwa michepuko, Mungu alimuumbia kila mdada na baby wake, why kuchukua mume wa mtu.[emoji848]
Hivi mpo wangapi vile kulinganisha na wanaume..nyia hata kila mwanaume akiwamiliki wa4 wa4 bado kuna watakao kosa wanaume.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unawasemaje wale wanaoacha familia zao zinakula vyema na pia mchepuko nao unakula vyema je hao wako sawa na michepuko itapata laana..acha kupangia watu maisha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mwanaume anashauri mwanamke akae kimkakati apige hela, mwanaume huyu huyu baadae anapiga uturn kusema sema wanawake wanapenda hela. Ila CCM Mungu anaiona kwakweli!!!!
Point yake kuu wajiongeze Kwa kujitegemea wao ili wakiachwa wasiyumbe kiuchumi.
 
Ndo maana nakula tu wake za watu. Michepuko huru mzigo. Nikijusikia kuchepuka unampanga mke wa mtu, anapigwa yeye hadi hela ya mumewe nakula na mke wangu.

Michepuko huru ni mzigo kwa familia
 
Pole sana, na tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…