Ushauri kwa wahitimu wa kidato cha 4 (O-Level)

Ni kweli kabisa,

Naona vyuo vya nje vinajali sana kuhusu high school education
 
WEWE HUNA HADHI YA KWENDA EUROPE KIJANA ACHA KUJIFARAGUA๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

WEWE ENDELEA KUPIGA DEIWAKA HAPO KWENYE KIJIWE CHA BODABODA!
 
Asante Kwa kushare.

Kuna baadhi ya taasisi uhitaji elimu ya high school ili kupata ajira nauliza swali hill ili kupata ufahamu mzuri.
hamna taasisi yoyote dogo kapige shule achana na huyo MBANGAIZAJI.

TAASISI NYINGI ZINAHITAJI WATENDAJI WENGI AMBAO WENGI WAO ELIMU HUWA NI DIPLOMA.


HUYO MLETA MADA NI AINA YA WATU WAKUNDI LILILOKUWA LINAAMINI ILI UWE RUBANI LAZIMA USOME PGM๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


KUMBE NJE YA NCHI HUKO WEWE UWE TU NA WASTANI WA MILLIONI 250 -300 UNACHUKUA VIMISTARI VYAKO VINNE CHAPU UNAENDELEA NA MAISHA.
 
Kimataifa upo sahihi kabisa.

Internationally elimu za kiafrika hutambulika kwa kuanzia level ya high school(12 years of formal education), Bachelor degree, Masters na kuendelea.

Hizi Diploma zetu uchwara hazifahamiki.

Kwa hivyo mtu akiishia diploma tu, Ajue kwamba kimataifa yeye ni sawa na standard seven.

Labda apate Bachelor degree.
 
Kwamba akipita Diploma hawezi kufikia hiyo Masters ambayo ndo kiwango cha elimu kinachotambuliwa kwa mujibu wa maelezo yako?
DOGO ANATOKA BUSHI HUKO ANAONGELEA MAMBO YA KUSADIKIKA๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hiki kitu huwa kinanishangaza sana unakuta mtoto ana sifa zote za kuingia kidato cha Tano ila mzazi sijui anatoa wapi ushauri anaacha kumpeleka mtoto.

Halafu badae anaanza kulia.
Advance Level ni nzuri sana.
AMNA KITU MAWINGA KIBAO WAPO KARIAKOO WAMEPITA HIYO ELIMU NA HAMNA KITU AJIRA ZA SERIKALI ZOTE 3/4 NI KUHUSU LEVEL YA DIPLOMA. PUNGUZENI EGO ANGALIENI UHALISIA WA MAISHA YA HAPA MAVUMBINI.

JULIKO KWENDA ADVANCE ULAMALIZA UENDE CHUO UKASOME BACHELOR IN SOCIALOGY NI HERI UKAPIGE KADIPLOMA KAKO KA RECORD MENAGMENT AU SECRETARIAL STUDIES HUWEZI KUFA NJAA๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

UKITAKA UPATE KAZI MAPEMA SOMA DIPLOMA UKITAKA SIFA ILA UWE NA AKILI ZA KUPIGA WANI YA SINGO DIGIT NENDA ADVANCE LEVEL ILA KAMA WEWE MBANGAIZAJI PIGA DIPU HICHO CHETI IKO SIKU KITAKUOKOA.DEGREE HAINA SOKO UKISHAVUA JOHO NDO UTAONA BORA UNGEPIGA HATA SHORT KOZI YA MIEZI MITATU VETA๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ
 
Huo ndio ukweli. Mwanangu alitakiwa kujiunga na A level mm nikagoma nikampeleka diploma ya CO Iringa sasa hivi anaajira ya serikali na anajisomea mengine taratibu wakati anauhakika yupo kazini
KINACHOWASUMBUA WATU NI MALENGO:

1.KAMA UNAMALENGO YA KUSOMA HUKO ULAYA BAADA YA ADVANCE BASI HUYU MTU NDO AENDE HUKO ADVANCE

2.ILA KAMA MALENGO MTU ANAPLANI ZA KUWEZA KUJITEGEMEA KWA UJUZI NA AWEZE KUAJIRIKA ZAIDI AENDE DIPLOMA.

3.WALE WASIO NA MALENGO NDO HAO MTU ANASOMA MPAKA FORM SIX ILA UKIMUULIZA WEWE UNAUELEKEO UPI ANAKWAMBIA ANASUBIRI MAJIBU NDO YAMUAMULIE,HAWA USELESS CREATURES NDO WANATULETEA UBISHANI HUMU KWAKUA HAWANA UWAKIKA NA NINI WANAKITAKA AU KUKITATAJIA.

#KUPANGA NI KUCHAGUA,KILA KITU KINA FAIDA NA HASARA. NI VYEMA MTU BINAFSI AKAJIPIMA NA KUCHAGUA AKIPENDACHO KULINGANA NA MALENGO YAKE!!!
 
Kwa sasa usitegemee ajira za Tanzania ambazo kuzipata hadi muwe mnajua .
 
Ni kweli kabisa,

Naona vyuo vya nje vinajali sana kuhusu high school education
NENDA HAPO INDIA HAKUNA HUO USHUBWANA WANAPOKEA MPAKA DIPLOMA HOLDERS NA NI VYUO VINATAMBULIKA MPAKA NA TCU. NA BADO UNAPATA SCHOLARSHIP MPAKA 50%

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒACHENI KUDANGA WATU!!!
 
Kwa sasa usitegemee ajira za Tanzania ambazo kuzipata hadi muwe mnajua .
wewe unadhani kwa dunia ya sasa utaenda kuajiriwa wapi na elimu yenu ya hovyo.

Ukiona watanzania huko nje ujue wanafanya kazi za chini ya meza.

Hakuna mzungu anaruhusu kazi za kiprofessional zifanye na INVOMPETENT MONKEYS FROM AFRICA!!!
 
wewe unadhani kwa dunia ya sasa utaenda kuajiriwa wapi na elimu yenu ya hovyo.

Ukiona watanzania huko nje ujue wanafanya kazi za chini ya meza.

Hakuna mzungu anaruhusu kazi za kiprofessional zifanye na INVOMPETENT MONKEYS FROM AFRICA!!!
We Una mawazo ya kimasikini Sana
 
NENDA HAPO INDIA HAKUNA HUO USHUBWANA WANAPOKEA MPAKA DIPLOMA HOLDERS NA NI VYUO VINATAMBULIKA MPAKA NA TCU. NA BADO UNAPATA SCHOLARSHIP MPAKA 50%

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒACHENI KUDANGA WATU!!!
napata wapi orodha ya vyuo vya nje vinavyotambulika na TCU?
 
Asante kwa ushauri mkuu lakini ni vema ungesema ni ushauri kwa wahitimu wa kidato cha nne wanaotarajia kusoma nje na kufanya kazi nje ya nchi kwa maelezo yako. Pili huna sababu ya kuiomba serikali ilazimishe A level kwa sababu hizo! Mwanafunzi ataongeza nini Cha maana maishani kwa miaka yote hiyo 6?

1. Siyo kila mhitimu wa kidato cha nne anatarajia kuajiriwa ndani au nje ya nchi
2. Elimu ya sekondari kwa haimwandai mwanafunzi kujitegemea Bali kuwa tegemezi. Utegemezi wa vijana kama taifa umetokana na hiyo A level
3. Fani zinazosomwa vyuo vikuu na wahitimu wengi wa A level haziakisi hadhi zao na matamanio yao maishani na nini walitaka kuwa ila ni ili wawe na degree ndio sababu wengi wanakosa ajira na akipata siyo fani takiwa

4. A level ni level ya kupotezea mwanafunzi mwelekeo. Wengi malengo na mipango hupotea wanapokuwa advance

5. Fani baada ya O level inamfanya mwanafunzi kujitegemea mapema. Anataka ajira atasomea specific fani anayotaka ili aajiriwe,anataka kujiajiri atasomea fani anayotaka akajiajiri. Mmoja anayejitambua akienda chuo na mwingine aende A level huyu wa A level atakapomaliza atamkuta mwenye cheti au diploma tayari yuko kwenye reli wakati yeye anatafuta akasome degree ya nini. Anpoamaliza degree anaanza kutafuta ajira mwenzake anaenda kusoma degree akiwa kwenye ajira!

6. Kwa mawazo finyu A level ina heshima kwa mawazo pana A level ni gunia linalozalisha vijana tegemezi kwa wazazi na jamii yao wakati vyuo vya kati vikitoa vijana wanaojitegemea!
 
Uongo mtupu huu.
Hao wa certificates na diploma ndo huingia vyuo vikuu kama "mature entrants", almost wote huwa ni "tia maji", hawana uwezo huo kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ