mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Ni kweli kabisa,
Naona vyuo vya nje vinajali sana kuhusu high school education
Naona vyuo vya nje vinajali sana kuhusu high school education
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu na ajira Kwa mabeberu ukiwa Una high school certificate unapataNi kweli kabisa,
Naona vyuo vya nje vinajali sana kuhusu high school education
hamna taasisi yoyote dogo kapige shule achana na huyo MBANGAIZAJI.Asante Kwa kushare.
Kuna baadhi ya taasisi uhitaji elimu ya high school ili kupata ajira nauliza swali hill ili kupata ufahamu mzuri.
DOGO ANATOKA BUSHI HUKO ANAONGELEA MAMBO YA KUSADIKIKA😂😂😂Kwamba akipita Diploma hawezi kufikia hiyo Masters ambayo ndo kiwango cha elimu kinachotambuliwa kwa mujibu wa maelezo yako?
AMNA KITU MAWINGA KIBAO WAPO KARIAKOO WAMEPITA HIYO ELIMU NA HAMNA KITU AJIRA ZA SERIKALI ZOTE 3/4 NI KUHUSU LEVEL YA DIPLOMA. PUNGUZENI EGO ANGALIENI UHALISIA WA MAISHA YA HAPA MAVUMBINI.Hiki kitu huwa kinanishangaza sana unakuta mtoto ana sifa zote za kuingia kidato cha Tano ila mzazi sijui anatoa wapi ushauri anaacha kumpeleka mtoto.
Halafu badae anaanza kulia.
Advance Level ni nzuri sana.
KINACHOWASUMBUA WATU NI MALENGO:Huo ndio ukweli. Mwanangu alitakiwa kujiunga na A level mm nikagoma nikampeleka diploma ya CO Iringa sasa hivi anaajira ya serikali na anajisomea mengine taratibu wakati anauhakika yupo kazini
Kwa sasa usitegemee ajira za Tanzania ambazo kuzipata hadi muwe mnajua .KINACHOWASUMBUA WATU NI MALENGO:
1.KAMA UNAMALENGO YA KUSOMA HUKO ULAYA BAADA YA ADVANCE BASI HUYU MTU NDO AENDE HUKO ADVANCE
2.ILA KAMA MALENGO MTU ANAPLANI ZA KUWEZA KUJITEGEMEA KWA UJUZI NA AWEZE KUAJIRIKA ZAIDI AENDE DIPLOMA.
3.WALE WASIO NA MALENGO NDO HAO MTU ANASOMA MPAKA FORM SIX ILA UKIMUULIZA WEWE UNAUELEKEO UPI ANAKWAMBIA ANASUBIRI MAJIBU NDO YAMUAMULIE,HAWA USELESS CREATURES NDO WANATULETEA UBISHANI HUMU KWAKUA HAWANA UWAKIKA NA NINI WANAKITAKA AU KUKITATAJIA.
#KUPANGA NI KUCHAGUA,KILA KITU KINA FAIDA NA HASARA. NI VYEMA MTU BINAFSI AKAJIPIMA NA KUCHAGUA AKIPENDACHO KULINGANA NA MALENGO YAKE!!!
NENDA HAPO INDIA HAKUNA HUO USHUBWANA WANAPOKEA MPAKA DIPLOMA HOLDERS NA NI VYUO VINATAMBULIKA MPAKA NA TCU. NA BADO UNAPATA SCHOLARSHIP MPAKA 50%Ni kweli kabisa,
Naona vyuo vya nje vinajali sana kuhusu high school education
wewe unadhani kwa dunia ya sasa utaenda kuajiriwa wapi na elimu yenu ya hovyo.Kwa sasa usitegemee ajira za Tanzania ambazo kuzipata hadi muwe mnajua .
We Una mawazo ya kimasikini Sanawewe unadhani kwa dunia ya sasa utaenda kuajiriwa wapi na elimu yenu ya hovyo.
Ukiona watanzania huko nje ujue wanafanya kazi za chini ya meza.
Hakuna mzungu anaruhusu kazi za kiprofessional zifanye na INVOMPETENT MONKEYS FROM AFRICA!!!
WEWE MASKINI KAPUKU HUKO NJE YA NCHI HAWAWATAKI NDIOMANA TURUMPU ANAWADEPORT MRUDI MAKWENU MKAJENGE NCHI ZENU KULE SIO KWENU😁😁😁We Una mawazo ya kimasikini Sana
napata wapi orodha ya vyuo vya nje vinavyotambulika na TCU?NENDA HAPO INDIA HAKUNA HUO USHUBWANA WANAPOKEA MPAKA DIPLOMA HOLDERS NA NI VYUO VINATAMBULIKA MPAKA NA TCU. NA BADO UNAPATA SCHOLARSHIP MPAKA 50%
📌📌📌ACHENI KUDANGA WATU!!!
dunia ina vyuo vingi mzee sasa hiyo orodha si itafika chalinze😁😁napata wapi orodha ya vyuo vya nje vinavyotambulika na TCU?
Huu ni ushauri kwa mliomaliza kidato cha 4 (O-Level) mwaka huu na mnafikiria kujiunga na chuo japokuwa mna ufaulu mzuri wa kujiunga A-Level. Kama ni mzazi una mtoto aliyemaliza masomo hayo na ana wazo hili unaweza kumpatia ushauri huu. Natoa ushauri huu from experience na niliyoyaona baada ya mimi kupita njia hiyohiyo.
Kumekuwa na wimbi kubwa la wahitimu wengi wa kidato cha 4 kukwepa masomo ya A-Level wakiona kama ni kupoteza muda kwasababu tu ukipita chuo unapata ujuzi kwa fani unayoitaka, unaokoa muda (which isn't true), kupata ajira za diploma, kukimbia masomo ya A-Level yanayoaminika kuwa ni magumu.
Ila ni lazima wanafunzi wajue umuhimu wa masomo ya A-Level. Kwenye ngazi za kielimu A-Level inakupa hadhi ya "High School Graduate" ambayo kuipata kwenye nchi nyingi ni 12 years in school, sasa ukiishia form 4 unahesabika kama mtu ambaye hajahitimu High School. Pia, A-Level hutoa ujuzi muhimu na maarifa ambayo huunda msingi wa elimu zaidi na stadi za maisha. Wanafunzi hupata msingi mzuri kwa masomo kama: hesabu, sayansi na sanaa ya lugha.
Kimataifa elimu zinazotolewa Tanzania na kutambulika ni High School (A-Level), Bachelor's Degree, Master's Degree. Kutokana na Utandawazi na mapinduzi ya Teknolojia ni vyema kuendana na kasi ya Dunia kwa kuwa na International Credentials, hii itakupa wigo mpana kwenye soko la ajira na hata elimu pia.
Sasa tukirudi kwenye my experience, mwaka jana nilitaka kwenda kujiendeleza kielimu nje ya nchi, Central Europe. Shida ikaja kwenye vyeti nilivyonavyo kwakuwa sikuhitimu High School (12 years) nikawa sikidhi vigezo vya kujiunga na masomo hayo, japokuwa tayari nilikuwa nimefanya post-secondary studies. Ikatakiwa nifanye Foundation Program, ambayo inaongeza gharama za kifedha na muda wa mwaka mmoja.
So ushauri wangu ni vyema upite A-Level then, Bachelor's Degree. Ukihitimu unakuwa na ngazi mbili za kielimu zinazotambulika kimataifa. Hapahapa nchini kuna waajiri wanataka watu waliohitimu High School.
Ushauri wangu kwa serikali, katika maboresho ya sera za elimu 2027 baada ya kufuta darasa la 7 na kufanya uhitimu wa elimu yetu kuwa miaka 12 badala ya 13. Waangalie namna ya kufanya O-Level na A-Level kuwa mandatory na kidato cha 4 kuwe na mtihani wa taifa kama ilivyo sasa ila kusiwe na cheti na baada ya kuhitimu A-Level ndiyo mwanafunzi apate High School Certificate.
Uongo mtupu huu.Nimesoma chuo na watu waliopitia certificate kisha diploma halafu wale wa fresh from school (A'level) wanakimbizwa vibaya sana kazi za group za wanasaidiwa na watu wa diploma.
Hata matokeo ya mwisho watu wa diploma wanaongoza kwa mbali kwasababu wana uzoefu na msingi wa profession tangu certificate.