Ushauri Kwa wajumbe wa CHADEMA, kula kwa Mbowe ila Kura kwa Lissu.

Ushauri Kwa wajumbe wa CHADEMA, kula kwa Mbowe ila Kura kwa Lissu.

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Naomba niwashauri wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA, pesa zikija au kuletwa kwenu kuleni bila huruma ila kura mpigieni mwanamageuzi Lissu.

Ushauri wangu kwenu ni kwamba kuleni kwa Mbowe ila kura mpigie Lissu.

Asanteni kwa kunielewa.
 
Msisahau kuwakumbusha na kina Mmawia, Erythrocyte, Yericko Nyerere, Tindo nk watafute vibarua vingine vya kuwapatia ugali na ada za shule kwa watoto wao. Maana aliekuwa anawasaidia kuishi mjini ili kumlinda asing'atuke kitini watu hawamtaki.
 
Lissu na yeye alete madumu ya mafuta ya alizeti
 
Wee Enomist huna ushauri kwa wajumbe wa mkutano wao ndo wanajua zipi mbichi na mbivu kama unataka subiri na wee ukawe mjumbe ili ukatimize wajibu wako lakini huna cha kuwashauri watu wenye akili timamu.
 
Back
Top Bottom