Ushauri kwa Walevi : Pombe mbaya jamaa jana nimetukanwa sana na Mlevi

Walevi hawa hawa ambao hawapoteagi njia ya kufika nyumbani kwao au?
Siku moja niliwahi potea asee.
SASA MKUU SEHEMU YA WALEVI UNAENDA KUFANYAJE? muda mwingine kutafuta watu ubaya tu
 
mkuu nina ujuzi mkubwa wa kunoa mapanga,...nipe tenda,..🤒🤒🙄🤔
 
Hiyo ndio tofauti ya mnywaji na mlevi
hakuna cha tofauti inategemea na kichwa cha mtu kuna mtu pombe haimpendi analazimisha hao ndo wanaozingua kuna mtu pombe inampenda hao hawazingui hata akeshe anakunywa hana madhara kwa jamii.
 
Mlevi akikutukana we mpanguse makofi hatorudia tena
leo nimekuta mahali mlevi anakula kelebu za kutosha...

kisa kalewa kisha namfuata mjumbe na kuanza kutukana eti mjumbe achane na familia yake(anahisi anamegewa) ikumbukwe jamaa ni wa chadema jamaa alinyanyuka na kumpiga kelebu za kutosha kumbe bana jama akishalewa ana ropoka kwa mtu yoyote eti anatembea na mke wake
 
Mjumbe anatembea na mke wake mlevi akishalewa hachagui wa kumtukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…