Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Hahaha we jamaa kata stimu sana, sijui umenitag kama Mlevi au Mchangia mada.
Kwa hio muda huu walevi bado wamelala au wameshaamka kwenda kunywa supu na chapati?Ukiona mlevi anakutukana ujue alikua anataka kukutukana muda mrefu ila alikua anakosa jinsi ya kuanza kukutukana, kwaiyo, akaamua kwenda kunywa pombe ili atoe nishai akutukane vizuri.
Jamani mbona umeni tag😂😂😂 mimi pombe ni sumu kwangu