Roger that...Na ndiyo maana kila mtu anatakiwa kuhusika katika kung'oa udikteta kwa jasho na damu.The worst is yet to come!
Unajua maana ya kupigwa miti?Chadema hamna hela za bundle mimi mbona najimwaga kama kawaida
Tumia akili yako japo kidogo.Ruzuku haipo tena chadema hawana bundle
Wewe mbona jinga hivi?Ruzuku haipo tena chadema hawana bundle
Daaa hapo kunawadogo zako huwa wanakusalimia 🤣🤣🤣🤣Ruzuku haipo tena chadema hawana bundle
Hela ya bundle ukose wewe halafu ulaumu serikali jilaumu mwenyewe
Download VPNTwitter kwangu imegoma kabisa.wengine hatuhusiki Na uchaguzi.what a shhit move
Hakika ni upuuzi wa kipuuziNimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu.
Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya social media ni kuingilia maisha yetu binafsi na ni ujinga kwa kiongozi anayelipwa mshahara wa kodi za wananchi kuja na utekelezaji wa jambo hili la kipuuzi.
Hali hii imeathiri baadhi ya kazi za watu na hivyo kuwakosesha kipato.
Tunaitaka Serikali aiche mara moja kuingiia mitandao ya kijamii na intaneti ili watu waedelee na maisha yao ya kawaida. Hatujawahi kushuhudia upuuzi kama huu na tumekuwa na uchaguzi miaka nenda rudi.