Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,492
- 2,361
Mimi iko poa tu badirisha weka nyingine mbona za bure nyingi tuKweli imegoma kabisa! Nahisi kuna watu wameblock hiyo App.
Yaani na hasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi iko poa tu badirisha weka nyingine mbona za bure nyingi tuKweli imegoma kabisa! Nahisi kuna watu wameblock hiyo App.
Yaani na hasira
Tuko busy kuhakikisha Amsterdam hapati mbunge hata mmoja.Mkiambiwa CCM haifai tena kuendelea kuongoza hii nchi muwe mnaelewa. Hawa ni mashetani wasioogopa kulitaja jina la Mungu. Kesho kapigeni kura kuwaondoa Madarakani na mzilinde kura zenu kweli.
Miti utapigwa ukijaribu kusogeza pua lako hilo barabaraniUnajua maana ya kupigwa miti?
Wasap ndio wameblock kabisa walivo selfish hafu daily nyumba za ibada wanataka tuwachague tena,politicians wa ki Africa ni coconut head kweliNi upuuzi kabisa
Acha kuchangia mambo ya kisenge weee falaaTuko busy kuhakikisha Amsterdam hapati mbunge hata mmoja.
Kwanza mnalilia mitandao utafikiri mna cha maana mnachofanya humo kumbe ni umbea tu
Wasap hazikuzimwa hata kupiga simu na kutuma sms haziendi kabisaUnaonekana umebarehe juzi. 2015 ilikuwa hivi hivi hata JF ilizimwa 2015. Be prepared boss.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ingieni road kukinukisha sasaTunaongozwa na binadam wasio na sifa ya utu. kilimit speed ya internet na kufunga baadhi ya mitandao ya kijamii ni ujinga mkubwa Sana. Hii inatupa hasira Sana kuelekea siku ya kesho.
Na ukimaliza unanyonywa hilo puru lako kwa kutumia makohozi.Miti utapigwa ukijaribu kusogeza pua lako hilo barabarani
Hamna kituDownload VPN
kweli siasa za maji taka. GB zangu zinakufa yaani . . . .shenzi taipudaaaah politicians are very low
very selfish
wanafanya kitu cha kuumiza watu mamilioni kwa ajili ya manufaa yao.
Leo kazi zimestuck za watu ambao hawajihusishi hata na hizo siasa majitaka.
Wewe ni pumbavu kweli Mimi raia nisiye na chama wananizimia data ili iwejeRuzuku haipo tena chadema hawana bundle
Kila anaye husika kutukatia mtandao usifanye kazi ni mpuuzi na mpumbavu sana, nimeteseka mapaka basi tena, order za bidhaa zangu china zimakwama sana nashindwa nifanyeje. uhuni ni uhuni tu. kama mtu anajiamini anapendwa unawezaje kutufungia mitandao maana yake una matatizo ya akili hujiaminiNimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu.
Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya social media ni kuingilia maisha yetu binafsi na ni ujinga kwa kiongozi anayelipwa mshahara wa kodi za wananchi kuja na utekelezaji wa jambo hili la kipuuzi.
Hali hii imeathiri baadhi ya kazi za watu na hivyo kuwakosesha kipato.
Tunaitaka Serikali aiche mara moja kuingiia mitandao ya kijamii na intaneti ili watu waedelee na maisha yao ya kawaida. Hatujawahi kushuhudia upuuzi kama huu na tumekuwa na uchaguzi miaka nenda rudi.
Maneno hayajawahi kuondoa tatizo kesho ndio siku yakuondoa ujinga wote piga Kura kwenye Uhuru Haki na Maendeleo ya watu ondoa ulalamishi pigia Kura LISUNimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu.
Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya social media ni kuingilia maisha yetu binafsi na ni ujinga kwa kiongozi anayelipwa mshahara wa kodi za wananchi kuja na utekelezaji wa jambo hili la kipuuzi.
Hali hii imeathiri baadhi ya kazi za watu na hivyo kuwakosesha kipato.
Tunaitaka Serikali aiche mara moja kuingiia mitandao ya kijamii na intaneti ili watu waedelee na maisha yao ya kawaida. Hatujawahi kushuhudia upuuzi kama huu na tumekuwa na uchaguzi miaka nenda rudi.
Kweli imegoma kabisa! Nahisi kuna watu wameblock hiyo App.
Yaani na hasira
Pigia LISU kesho ulalamishi hauondoi tatizoWanakera Sana ina maana sisi wananchi ni wajinga Wana fear of unknown
spana umetiwa wewe kwa nyuma ichomoe kama unawezaNaona mmetiwa spana. Poleni sana