Uchaguzi 2020 Ushauri kwa wanasiasa: Mbio zenu za Madaraka zisiathiri maisha yetu; kuigingilia mitandao na intaneti ni kuzuia haki zetu

Uchaguzi 2020 Ushauri kwa wanasiasa: Mbio zenu za Madaraka zisiathiri maisha yetu; kuigingilia mitandao na intaneti ni kuzuia haki zetu

Wewe twitter unaenda kufnya nini zaidi ya kumfollow kigogo?

Si umeona sasa selikali ilivyo na nguvu? Maana mlikuwa manajishaua humu hoo kigogo atawanyoosha. Subiri kesho na jf ipigwe chini
kwa hyo kesho wataongelea chumbani mwisho sebulen kwao manake nje nako maalufuku kulinda kura
 
Nimesikitishwa na upuuzi uliofanywa na wanasiasa wanaotumia nguvu nyingi kutaka kutawala na hatimaye wanaingilia uhuru na haki yetu.

Kitendo cha kulimit mtandao ili usifanye kazi kwa baadhi ya social media ni kuingilia maisha yetu binafsi na ni ujinga kwa kiongozi anayelipwa mshahara wa kodi za wananchi kuja na utekelezaji wa jambo hili la kipuuzi.

Hali hii imeathiri baadhi ya kazi za watu na hivyo kuwakosesha kipato.

Tunaitaka Serikali aiche mara moja kuingiia mitandao ya kijamii na intaneti ili watu waedelee na maisha yao ya kawaida. Hatujawahi kushuhudia upuuzi kama huu na tumekuwa na uchaguzi miaka nenda rudi.
Wapi uliambiwa mitandao ya kijamiii ni haki yakoo haki yakoo wewe ni TBC HHABARI LEO NA DAILY NEWS
 
Back
Top Bottom