Uchaguzi 2020 Ushauri kwa wanasiasa: Mbio zenu za Madaraka zisiathiri maisha yetu; kuigingilia mitandao na intaneti ni kuzuia haki zetu

Uchaguzi 2020 Ushauri kwa wanasiasa: Mbio zenu za Madaraka zisiathiri maisha yetu; kuigingilia mitandao na intaneti ni kuzuia haki zetu

Wanaslow down network ili kusudi Amani isichezewe (Wana retain Amani) sio kwamba watu wasifanye kazi Tuwe na Upeo kidogo ndugu zanguni
Jiwe Lazima ashinde huu Uchaguzi
Huo ndio ukweli
Na Usenge ni kwamba haya Maendeleo tunanufaika Wote Hata hawa keyboard Warriors Kudaadeq

Kazi kupinga Maendeleo tuu bila kutumia akili timamu
Hao watu mnaosema sijui wamekufa Sijui wametekwa Hata 20 hawafiki mnakuja kulalamika hapa

Hivi ingekua kama China mao zedong aliua watu 45Million ikiwemo ndege
Lakini Leo hii ndio Baba wa Taifa wa China mpaka kwenye hela anawekwa,

Njooni Mnitukane, Niwape makavu Mamaee

JPM2020
Hao ishirini angekuwepo nduguyo ungekuwa msibani.

Unajua yatima wangapi?
 
Wanaslow down network ili kusudi Amani isichezewe (Wana retain Amani) sio kwamba watu wasifanye kazi Tuwe na Upeo kidogo ndugu zanguni
Jiwe Lazima ashinde huu Uchaguzi
Huo ndio ukweli
Na Usenge ni kwamba haya Maendeleo tunanufaika Wote Hata hawa keyboard Warriors Kudaadeq

Kazi kupinga Maendeleo tuu bila kutumia akili timamu
Hao watu mnaosema sijui wamekufa Sijui wametekwa Hata 20 hawafiki mnakuja kulalamika hapa

Hivi ingekua kama China mao zedong aliua watu 45Million ikiwemo ndege
Lakini Leo hii ndio Baba wa Taifa wa China mpaka kwenye hela anawekwa,

Njooni Mnitukane, Niwape makavu Mamaee

JPM2020
wewe ni bwege
amani ndo nchi ya kwanza kuwa na amani?

wanaogopa amani isichezewe na nani kwa sababu IPI?

unajua watu wamepoteza nini Leo?

ukiwa shabiki wa Chama muda mwingine switch on your brain and use it
 
KESHO SAA 12 WASIMAMIZI WATANIKUTA KITUONI NASUBIRI KUPIGA KURA YANGU YA HASIRA, HATA WAKIIBA NITAKUWA NA AMANI KUWA NILIITENDEA HAKI NAFSI YANGU PAMOJA NA UMMA. IPO SIKU HAWATAWEZA KUIIBA NA HAWATAKUWA NA NAMNA ZAIDI YA KUTOKA WAPISHE WENGINE.
 
Hakuna wa kukutukana hujaguswa na mwanafamilia au ndugu yako ndio maana unaona ni sawa
 
Unaonekana umebarehe juzi. 2015 ilikuwa hivi hivi hata JF ilizimwa 2015. Be prepared boss.
Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha SGR.
Two wrongs don't make it right.
Unajua hasara iliyopatikana leo sukule wewe!?
 
Huu ni mwanzo tu,kuna giza kubwa zaidi mbeleni
 
Jina lako linasadifu unayoandika
Wanaslow down network ili kusudi Amani isichezewe (Wana retain Amani) sio kwamba watu wasifanye kazi Tuwe na Upeo kidogo ndugu zanguni
Jiwe Lazima ashinde huu Uchaguzi
Huo ndio ukweli
Na Usenge ni kwamba haya Maendeleo tunanufaika Wote Hata hawa keyboard Warriors Kudaadeq

Kazi kupinga Maendeleo tuu bila kutumia akili timamu
Hao watu mnaosema sijui wamekufa Sijui wametekwa Hata 20 hawafiki mnakuja kulalamika hapa

Hivi ingekua kama China mao zedong aliua watu 45Million ikiwemo ndege
Lakini Leo hii ndio Baba wa Taifa wa China mpaka kwenye hela anawekwa,

Njooni Mnitukane, Niwape makavu Mamaee

JPM2020
 
Mzee wa kidumu cha petroli alete picha akiandamana kupinga hili
 
Bwege Mwenyewe
Ndio ni Nchi ya Kwanza kuwa na Amani
Na Sio Nchi ya Kwanza kuzimwa Mtandao

Sababu kuna watu wanachochea Vurugu, je Tuwaachie watizime lengo lao ?

Hata wewe Switch on your brain Dogo
Mimi Chadema Lakini naunga mkono
Juhudi za JPM, Lissu 2030 ntampa aunde Serikali kwnza Chadema hatuna serikal ya kuisimamisha

Mkuu najua ndio wangekua Ndugu zangu ingeniuma sana

Lakini Mambo Mengine tunayakuza sana kuliko uhalisia, Hivi bila Sababu ya Msingi kweli mvuvi auliwe tuu nothing behind hapo, Mengme ni Mambo ya kiusalama zaidi mkuu wangu
Vurugu zinachochewa mitandaoni?

kwa sababu gani

rotten
 
Matapeli na wezi ndio nyie, mtakufa tu mnafikiri mtaishi milele mmefika mwisho kila mtu ana kifo chake cha ajabu mpaka mtaomba poo
Umeanza kwa matusi halafu unarudi tena kujifanya unazungumzia utukufu 🤣🤣🤣 .Hakika wote tutakufa na tufanye toba maana hukumu anayetoa ni Mungu. Usikute wewe ni mzinifu au mwizi au hata msengenyaji ila kwa sababu hatujuani wengi mnajifanya wasafi. 🤣🤣🤣🤣
 
This is good, maana tumekuwa mashabiki sana wa maisha. Hatuko tayari kuuona ukweli sasa huu ndo ukweli. Mwanasiasa ndiye anayeendesha dunia, upende usipende, kwa hiyo wakati wote mitazamo yako lazima iendane na mfumo wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom