Ushauri kwa Wasabato

Ushauri kwa Wasabato

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Nimehudhuria ibada za Wasabato mara kadhaa. Mara zote nimeona msisitizo mkuu wa mahubiri yao ni kuhusu siku ya Sabato.

Lakini pia niliona kuwa mahubiri yao kwa sehemu kubwa yanatoka kwenye vitabu vya Agano la Kale.

Hakuna ubaya kwa mahubiri kutoka kwenye Agano la Kale, lakini endapo hawasomi vitabu vya Agano Jipya, hasa Nyaraka (Epistles), watakuwa wakijipunja sana kwa hasara yao wenyewe bila wao kujua kuwa wanapunjika mno. Wanaweza wakajidanganya, wakadanganya, na hata kudanganywa kirahisi bila wao kujua kuwa wamepotoka, wanapotosha, na wanapotoshwa.

Kwa sababu ya kutokusoma vitabu vya Agano Jipya, wengi wamekuwa wakiyafuata mapokeo ambayo kimsingi hayawasaidii kiroho.

Nitoe ushauri kwa kila Msabato na mtu mwingine yeyote anayetaka kufahamu jinsi Mkristo anavyopaswa kuishi, ajitahidi kusoma vitabu vya Biblia vya Agano Jipya, hasa Nyaraka.

Hivi ndivyo vitabu vya Nyaraka vya kwenye Biblia: Warumi, 1Wakorintho, 2Wakorintho, Wagalatia, Waefeso, Wafilipi, Wakolosai, 1Wathesalonike, 2Wathesalonike, 1Timotheo, 2Timotheo, Tito, Filemoni, Waebrania, Yakobo, 1 Petro, 2Peteo 1Yohana, 2Yohana, 3Yohana, na Yuda.

Akishamaliza hivyo, avisome vitabu vya Injili pamoja na Matendo.

Baada ya hapo sasa, ndipo asome kitabu cha Ufunuo ikifuatiwa na vitabu vyote vya Agano la Kale kuanzia Mwanzo hadi Malaki.

Kwa msingi huo, atakuwa ameshavisoma vitabu vyote vya Biblia hivyo kutamfanya ang'amue utofauti wa maisha ya Agano la Kale na Agano Jipya.

Lakini kama atapaswa kusoma vitabu vichache tu, basi asome vitabu vya Nyaraka!

Kwa nini Nyaraka? Kwa sababu ndizo zenye mwongozo wa maisha ya Mkristo.

Kama mtu hajasoma vitabu vya Nyaraka, anaweza akawa anajitahidi kuyaishi maisha ya Agano la Kale kwenye kipindi cha Agano Jipya, jambo ambalo haliwezekani. Ataishaia tu kuvunjika moyo.
 
mzee wa rararara rerreeer shikarobo nusu achia rororrorr,hakakakakaa ohohohohho chakarobokosa
 
Umesali kwa muda gani kwa hao wasabato ili kuona kama mtizamo wako ni sahihi?

Maana huenda siku ulizohudhuria kulikuwa na mahubiri yaliyotokea agano la kale kutokana na mtu aliyeandaa hubiri alilitolea sehemu gani ya biblia.

Maana kila andiko la Mungu lafaa kwa mafundisho...haijalishi limetokea sehemu ipi ya biblia...maana biblia ni moja, Wala huwezi kusema sehemu Fulani ya biblia ni muhimu kuliko nyingine.
 
Nimehudhuria ibada za Wasabato mara kadhaa. Mara zote nimeona msisitizo mkuu wa mahubiri yao ni kuhusu siku ya Sabato.

Lakini pia niliona kuwa mahubiri yao kwa sehemu kubwa yanatoka kwenye vitabu vya Agano la Kale.

Hakuna ubaya kwa mahubiri kutoka kwenye Agano la Kale, lakini endapo hawasomi vitabu vya Agano Jipya, hasa Nyaraka (Epistles), watakuwa wakijipunja sana kwa hasara yao wenyewe bila wao kujua kuwa wanapunjika mno. Wanaweza wakajidanganya, wakadanganya, na hata kudanganywa kirahisi bila wao kujua kuwa wamepotoka, wanapotosha, na wanapotoshwa.

Kwa sababu ya kutokusoma vitabu vya Agano Jipya, wengi wamekuwa wakiyafuata mapokeo ambayo kimsingi hayawasaidii kiroho.

Nitoe ushauri kwa kila Msabato na mtu mwingine yeyote anayetaka kufahamu jinsi Mkristo anavyopaswa kuishi, ajitahidi kusoma vitabu vya Biblia vya Agano Jipya, hasa Nyaraka.

Hivi ndivyo vitabu vya Nyaraka vya kwenye Biblia: Warumi, 1Wakorintho, 2Wakorintho, Wagalatia, Waefeso, Wafilipi, Wakolosai, 1Wathesalonike, 2Wathesalonike, 1Timotheo, 2Timotheo, Tito, Filemoni, Waebrania, Yakobo, 1 Petro, 2Peteo 1Yohana, 2Yohana, 3Yohana, na Yuda.

Akishamaliza hivyo, avisome vitabu vya Injili pamoja na Matendo.

Baada ya hapo sasa, ndipo asome kitabu cha Ufunuo ikifuatiwa na vitabu vyote vya Agano la Kale kuanzia Mwanzo hadi Malaki.

Kwa msingi huo, atakuwa ameshavisoma vitabu vyote vya Biblia hivyo kutamfanya ang'amue utofauti wa maisha ya Agano la Kale na Agano Jipya.

Lakini kama atapaswa kusoma vitabu vichache tu, basi asome vitabu vya Nyaraka!

Kwa nini Nyaraka? Kwa sababu ndizo zenye mwongozo wa maisha ya Mkristo.

Kama mtu hajasoma vitabu vya Nyaraka, anaweza akawa anajitahidi kuyaishi maisha ya Agano la Kale kwenye kipindi cha Agano Jipya, jambo ambalo haliwezekani. Ataishaia tu kuvunjika moyo.
Sawa
 
mkuu tunasoma vitabu vyote

waebrania 4:9-10​

Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu. Kwa maana yeye aliyeingia katika raha yake amestarehe mwenyewe katika kazi yake, kama vile Mungu alivyostarehe katika kazi zake.
 
mkuu unafikiri ni kitu gani kwenye agano jipya hatujui wasabato au umejuaje hatusomi
kuna muongozo wa kusoma biblia tunaita lesson
huwa tunasoma vitabu vyote bila kujali agano
 
Ni kitabu chenye Maneno yenye Pumzi ya MUNGU!
Kinajipinga chenyewe.. Kinamdhalilisha Mungu ambae Chenyewe kimemsifia. Mf:

Kinamsifia ana upendo wakati huohuo kinasema Wanadamu kawaumbia shida na Yeye kakaa Mbinguni anakula raha - Ubaguzi

Kinadai anajua Mwanzo na mwisho, Kinampinga tena kwanini Alishindwa kujua kua akimuumba shetani italeta shida.

Ukisema hakujua kua shetani ataasi inamana hajui hata mwisho wetu utakuaje, Ukisema alijua Shetani ataasi ina mana amefanya makusudi kutupatia Mamivu.

Na kama alijua Shetani ataasi kwanini alimuumba , Halafu mwisho atatuchoma moto kwa uzembe wake mwenyewe wa kumuumba Shetani wakati anajua Yajayo.

Hata ile akili ya Hawa kula Tunda alipewa na Mungu huyohuyo wa kwenye biblia, hakujipa yeye ile akili.

Mungu mmoja Madhehebu 600, Kila mtu anajiona bora kuliko mwingine kama wewe unavyojiona bora kuliko Wasabato nao pia Wanajiona hivyohivyo.

Thats why Wakristo wamegawanyika makundi mengi kila mmoja anatumia hoja za humohumo kujitetea.

Hakina pumzi yoyote ya Mungu kinajipinga na Kumdhalilisha Mungu naemtambua mwenye nguvu na Utashi.

kila mtu anafundisha kama alivyoielewa Hadithi.

NB: UKIWEKA IMANI SEHEMU ISIYOSAHIHI INAKUUMIZA MWENYEWE.
 
UNAJUA LESSONI? MWONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA? NENDA KWA MSABATO YEYOTE YULE ATAKUPA THEN UANGALIA KM NI AGANO LA KALE TU AU LA?SAHV TUNA LESON TUNAJIFUZA YA KITABU INJILI YA MARKO.
 
Comrade utakuwa unavizia muda wa ibada kuu I mean pale mhubiri anapotaka kuanza kuwapa watu chakula, endapo ukifika kuanzia saa 2:30 unaweza kujua mada yako ina kasoro kubwa.
Fungua hapa 👇🏾 mkuu...

Baada ya kufungua hiyo link na kuingia page iliyo wazi scroll down to the end utaona siku zilivyojipanga, ninkila siku unajifunza habari za agano jipya.

Baada ya hapo nicheki hapa hapa uwanjani tusaidiane jambo.
 
hatakuelewa mzee wa rararara rerreeer shikarobo nusu achia rororrorr,hakakakakaa ohohohohho chakarobokosa
 
Comrade utakuwa unavizia muda wa ibada kuu I mean pale mhubiri anapotaka kuanza kuwapa watu chakula, endapo ukifika kuanzia saa 2:30 unaweza kujua mada yako ina kasoro kubwa.
Fungua hapa 👇🏾 mkuu...

Baada ya kufungua hiyo link na kuingia page iliyo wazi scroll down to the end utaona siku zilivyojipanga, ninkila siku unajifunza habari za agano jipya.

Baada ya hapo nicheki hapa hapa uwanjani tusaidiane jambo.
Nimemaliza mkuu! Kifuatacho?
 
Back
Top Bottom