Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
ntarudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Hii mpya hii..😅Alipotea usiku. Hakuna, yeye anachokumbuka ni kwamba alienda chimba dawa akamaliza akarudi akakuta gari hakuna akaanza tembea anahangaika kulitafuta akidani tingo kajikuta dereva
Tunayoyafahamu katika dunia ni machache mno ukilinganisha na tusiyoyafahamu. Vitabu vya dini vinasibitisha hilo.
Na hata katika qur-ani kuna kisa cha swaaba mmoja aliwahi pia enda sehemu nahisi ni mbinguni ila sikumbuki vizuri yeye alitumia siku moja ila alirudi na kukuta watu wameishi miaka 70
Kwa wakati ule wengi waliamini kuwa nimenusulika kufichwa na wachawi ila kwasasa naamini ni TIME TRAVEL😅😅
So hata mbwa wako nao hawakuonyesha tofauti basi mlichotwa mkachoteka..😅
Sidhani Kama kuna kitu cha hivi..
Vitu vya hivi inakuwa ngumu kuniingia akilini.. two days and you feel like four hours!.. familia walikula huku wanakutafuta siku ya kwanza Tena na siku ya pili then ndo wakakuona..😅😅Kwa wakati ule wengi waliamini kuwa nimenusulika kufichwa na wachawi ila kwasasa naamini ni TIME TRAVEL
Kwa MUNGU inawezekana ila sio kwa stori wanazo taka kutuaminisha wanasayansi
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mbona walienda mpaka kwa mganga na ukilinganisha nilikuwa mdogo pili ni kijijini yaani shamba nakikubwa ni kupotea na wale mbwa pia.Vitu vya hivi inakuwa ngumu kuniingia akilini.. two days and you feel like four hours!.. familia walikula huku wanakutafuta siku ya kwanza Tena na siku ya pili then ndo wakakuona..😅😅
Au waliamua tu kukuzuzua..
It needs scientific research to explain this mkasa..😅Mbona walienda mpaka kwa mganga na ukilinganisha nilikuwa mdogo pili ni kijijini yaani shamba nakikubwa ni kupotea na wale mbwa pia.
Inawezekana vipi kusinzia vichakani kwa siku mbali?Hiyo ya kwenda kuwinda wanyama na kuchelewa kurudi nyumbani haiwezi kuwa time travel wewe sema ulikuwa umesinzia vichakani ulivyoamka ukapata wazo la kurudi nyumbani.
utata haswaKutoka 2020 uende kuishi maisha ya 2050 hapa ndipo utata unapokuja..
Au utoke 2020 uende kuishi maisha ya mwaka 1990 hapa ndipo utata unapokuja.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kwa akili ya kawaida ni utata kweri. Tena ni ngumu kuamini kuwa nilipotea j3 saa sita na kurudi j5 saa11 na kwangu iwe ni kama masaa machache tuu. ( j3 na J5 nimeweka kama mfano maana sikukumbuki majuma ya lile tukio)utata haswa
alikula matopetope akalewa akalala fofofo [emoji28]Hiyo ya kwenda kuwinda wanyama na kuchelewa kurudi nyumbani haiwezi kuwa time travel wewe sema ulikuwa umesinzia vichakani ulivyoamka ukapata wazo la kurudi nyumbani.
alikula matopetope akalewa akalala fofofo [emoji28]
Si kwerindio hvyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]