mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Unajua hii NADHARIA inaweza ikawa ya kweli.
Tatizo wale wanaoamini wanashindwa kutuaminisha inafanyika vipi na hata wao hawajui inafanyika vipi.?.
tungekuwa na uwezo hata wa kufika Lisaa limoja mbele tungejua kipi kitakachotokea tusingepata shida.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Labda kuna time traveller za aina mbili, hii wanaosema hapa kwamba unatumia dakika 3 mazingira flani na wanaokuzunguka wanatumia miaka 3 kukutafuta mazingira hayo hayo.
Na ya pili ni kusafiri kabisa kutoka mwaka flani kwenda mwaka flani. Kama yule jamaa alionekana kwenye picha huko uingereza mwaka 1928 kwenye ufunguzi wa daraja akiwa amevaa tshirt bodytight ya technokolojia na kiwanda cha 2007.
Au yule jamaa alionekana kwenye pambano la Tyson mwaka 1986 amevaa miwani ya toleo la miaka ya 2000
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app