kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Natumai nyie ni wazima wa afya,
Leo nimeona nilete huu ushauri kwa wazazi wa kiislam kuwa tujitahidi sana watoto wetu waende madrasa wapate elimu ya dini.
Elimu ya kawaida tunajua ni muhimu sana na kwasasa kila muislam kaamka kuhusu elimu ya kawaida ila naombeni tu msiache kuwapeleka watoto madrasa.
Ikishindikana kabisa hakikisha mwanao anapata access ya elimu ya dini maana hii dunia ya sasa hii huko tuelekeapo ni pabaya sana shetani yupo kazini kwelikweli.
Sahivi vita iliyopo duniani ni vita dhidi ya maadili tunaona jinsi ushenzi wa kimagharibi na maadili yasiyofaa kutoka West yanavyolitesa bara la Afrika na Waafrika hadi Asia na Latin pia wamekua ni wahanga wakubwa wa kupotoka maadili kunakosababishwa na nchi za Magharibi.
Ni muhimu sana kwa watoto wetu wapate elimu ya dini, mimi wangu wanasoma Day na ni private lakini nahakikisha madrasa wanaipata hata kama mimi baba yao sijaweza kusimama mwenyewe imara kidini lakini sitaki watoto wangu waje kuwa kama mimi nataka watoto ambao watakua kusimama na kuielewa dini vizuri leo na kesho.
Huo ndiyo ujumbe wangu kwenu.
#Kimaro