My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Asee pepo ya waslamu kumbe inatoa mashavu kwa alieenda anachagua mmoja wa kujumuika nae,asee naanza kuishi vizur na waslamuFamilia/mzazi/mlezi itakkayofanikiwa kuwa mtoto atakayehifadhi Quran kifuani mbele Allah ataombwa awaombee msamaha watu kadhaa Sasa akifanikiwa kukutaja wewe umepona.
Tuwahimize watoto wahifadhi Quran.
Ushauri katika hili ninkwamba watoto wafumdushwe herufi kama vile wanavyosomeshwa 'a' 'e' 'i' 'o' 'u'.
Kule madrasa ataweza kusoma vizuri na hatachukua Muda mrefu kujifunza na kusoma.
Sio kama enzi zetu tikuwa tukiimba