Kama kawaida yenu... DENIALAchen kuchafua dini kwa uzushi wenu
Waislam mnafanana kwenye jambo moja, DENIAL... Yaani huwa hamkubali madhaifu yenu hata siku moja... na hapa utatafuta Mzungu/Mmarekani/Mkristo umlaumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida yenu... DENIALAchen kuchafua dini kwa uzushi wenu
Tatizo hiyo elimu ya dini inazarisha waisiharamu badala ya waislamu .kwa sasa tz nzima kumpata muislamu hata mmoja ni ajabu ya mwaka....bali waisiharamu ndiyo wamejazana hadi misikitiniNatumai nyie ni wazima wa afya,
Leo nimeona nilete huu ushauri kwa wazazi wa kiislam kuwa tujitahidi sana watoto wetu waende madrasa wapate elimu ya dini.
Elimu ya kawaida tunajua ni muhimu sana na kwasasa kila muislam kaamka kuhusu elimu ya kawaida ila naombeni tu msiache kuwapeleka watoto madrasa.
Ikishindikana kabisa hakikisha mwanao anapata access ya elimu ya dini maana hii dunia ya sasa hii huko tuelekeapo ni pabaya sana shetani yupo kazini kwelikweli.
Sahivi vita iliyopo duniani ni vita dhidi ya maadili tunaona jinsi ushenzi wa kimagharibi na maadili yasiyofaa kutoka West yanavyolitesa bara la Afrika na Waafrika hadi Asia na Latin pia wamekua ni wahanga wakubwa wa kupotoka maadili kunakosababishwa na nchi za Magharibi.
Ni muhimu sana kwa watoto wetu wapate elimu ya dini, mimi wangu wanasoma Day na ni private lakini nahakikisha madrasa wanaipata hata kama mimi baba yao sijaweza kusimama mwenyewe imara kidini lakini sitaki watoto wangu waje kuwa kama mimi nataka watoto ambao watakua kusimama na kuielewa dini vizuri leo na kesho.
Huo ndiyo ujumbe wangu kwenu.
#Kimaro
Hao nao ni wapotofu wa maadili na wanafaa kuanzishiwa uzi kama huu pia.Kwa hivyo mitungo ya nyumba ndogo inayozalisha watoto wa nje iko sawa, au unasemaje? Maana kila siku humu watu wanajisifu kuwa na michepuko kadhaa bila ya hofu.
S ahihi kabisaa.Natumai nyie ni wazima wa afya,
Leo nimeona nilete huu ushauri kwa wazazi wa kiislam kuwa tujitahidi sana watoto wetu waende madrasa wapate elimu ya dini.
Elimu ya kawaida tunajua ni muhimu sana na kwasasa kila muislam kaamka kuhusu elimu ya kawaida ila naombeni tu msiache kuwapeleka watoto madrasa.
Ikishindikana kabisa hakikisha mwanao anapata access ya elimu ya dini maana hii dunia ya sasa hii huko tuelekeapo ni pabaya sana shetani yupo kazini kwelikweli.
Sahivi vita iliyopo duniani ni vita dhidi ya maadili tunaona jinsi ushenzi wa kimagharibi na maadili yasiyofaa kutoka West yanavyolitesa bara la Afrika na Waafrika hadi Asia na Latin pia wamekua ni wahanga wakubwa wa kupotoka maadili kunakosababishwa na nchi za Magharibi.
Ni muhimu sana kwa watoto wetu wapate elimu ya dini, mimi wangu wanasoma Day na ni private lakini nahakikisha madrasa wanaipata hata kama mimi baba yao sijaweza kusimama mwenyewe imara kidini lakini sitaki watoto wangu waje kuwa kama mimi nataka watoto ambao watakua kusimama na kuielewa dini vizuri leo na kesho.
Huo ndiyo ujumbe wangu kwenu.
#Kimaro
Are you stupid?Kwahyo kuoa mke zaidi ya mmoja ni upotofu wa maadili?
Endelea kufikiria ujinga wako , Hawa ndio mojawapo wa mashetani wanaoongelewa humuWasichana waliosoma madrassa ndio wanaongoza kwa kuolewa wake wawili wawili na kupigwa mitungo kama akina wa Haji Manara. Huo ni upotufu mkubwa wa maadili kupigana mitungo.
==========================
Update: 08/12/2022
Kama hilo shetani la ngono za mtungo lililofanya hayo mauaji , chanzo kikubwa ni mafundisho aliyopata MadrassaEndelea kufikiria ujinga wako , Hawa ndio mojawapo wa mashetani wanaoongelewa humu
Muhammad alikuwa govi na anapiga wanawake tisa mtungo ana oga akimaliza wote tisa , fikiria alivyo kuwa ananukaEndelea kufikiria ujinga wako , Hawa ndio mojawapo wa mashetani wanaoongelewa humu
Kwa kuhifadhi Quran tu ndo apewe nafasi ya kuwaombea msamaha watu!!!!??? Aisee, kumbe ni rahisi hivyo!?Familia/mzazi/mlezi itakkayofanikiwa kuwa mtoto atakayehifadhi Quran kifuani mbele Allah ataombwa awaombee msamaha watu kadhaa Sasa akifanikiwa kukutaja wewe umepona.
Tuwahimize watoto wahifadhi Quran.
Ushauri katika hili ninkwamba watoto wafumdushwe herufi kama vile wanavyosomeshwa 'a' 'e' 'i' 'o' 'u'.
Kule madrasa ataweza kusoma vizuri na hatachukua Muda mrefu kujifunza na kusoma.
Sio kama enzi zetu tikuwa tukiimba
Athari za madrasa hizi!!! Huu utumwa wa dini za kigeni umeliharibu taifa, umetufanya tuwe mateka wa fikra.Na huo uzinzi mnaofanya chanzo ni madrasa? Mke mmoja halali mia hawara nao mmepata madrasa elimu hyo? Hakika nyie ni maadui kwetu hvyo sitoweza kubisahana nawe
Apo wamechafua din au waliofanya huo uchafu?Achen kuchafua dini kwa uzushi wenu
Aah case za madrasa watoto kulawitiwa, watoto na wale wenzao wakubwa kuingiliana wao kwa wao, matusi midomo michafu usiseme. Tuombe sana Mungu aiseh.Natumai nyie ni wazima wa afya,
Leo nimeona nilete huu ushauri kwa wazazi wa kiislam kuwa tujitahidi sana watoto wetu waende madrasa wapate elimu ya dini.
Elimu ya kawaida tunajua ni muhimu sana na kwasasa kila muislam kaamka kuhusu elimu ya kawaida ila naombeni tu msiache kuwapeleka watoto madrasa.
Ikishindikana kabisa hakikisha mwanao anapata access ya elimu ya dini maana hii dunia ya sasa hii huko tuelekeapo ni pabaya sana shetani yupo kazini kwelikweli.
Sahivi vita iliyopo duniani ni vita dhidi ya maadili tunaona jinsi ushenzi wa kimagharibi na maadili yasiyofaa kutoka West yanavyolitesa bara la Afrika na Waafrika hadi Asia na Latin pia wamekua ni wahanga wakubwa wa kupotoka maadili kunakosababishwa na nchi za Magharibi.
Ni muhimu sana kwa watoto wetu wapate elimu ya dini, mimi wangu wanasoma Day na ni private lakini nahakikisha madrasa wanaipata hata kama mimi baba yao sijaweza kusimama mwenyewe imara kidini lakini sitaki watoto wangu waje kuwa kama mimi nataka watoto ambao watakua kusimama na kuielewa dini vizuri leo na kesho.
Huo ndiyo ujumbe wangu kwenu.
#Kimaro
Swala la maadili ni tatizo sugua ila tuangalie na upande mwingine.
Bora elimu ziwe zinafanya kazi pamoja kuliko kubagua pawe na mitaala mizuri tu watu wapata elimu zote kwa wakati mmoja.
Wanaofungisha dini nao wanakatisha Tamaa kwa kesi zao za ovyo daily.
Lazima wasome kwa pamoja ,maana dini inabase kweny malevi na tabia katika jamii.Elimu ya uhalisia na sayansi isichanganywe na mambo mengine ya dini/imani.
Sio uislamu huoAthari za madrasa hizi!!! Huu utumwa wa dini za kigeni umeliharibu taifa, umetufanya tuwe mateka wa fikra.
Mtu mweusi unambagua mweusi mwenzio kisa hamuamini katika dini moja! Unamuona mzungu au mwarabu ni ndugu yako zaidi ya yule mnayeishi naye nyumba moja au mtaa mmoja! Ujinga mtupu.
Hiv Allah ndo Mungu huyu huyu tunaembiwa ndo atakaetuandalia mbingu cjui peponi au sisi wakristo tuna Mungu wetuManara si Allah wala mtume wetu, sisi tunafwata Allah anachosema kupitia quran na mtume wake sasa na kama manara ana uwezo na Allah ameruhusu wa nne ukiwa na nafasi sisi haitusumbui na kama anaoa na kuacha kwa nia ya kuwachezea pia si juu yetu ni juu ya nafsi yake na allah ndie atakaehukumu
Ungemalizia kabisa kuwa wawe makini mana kwenye madrasa ndio watoto wengi hulawitiwa na kubakwa.Natumai nyie ni wazima wa afya,