Ok, mbona hujibu uzinzi mnaoufanya umepaliliwa na naniUpuuzi wa dunia ni pamoja na ndoa za mtungo, among others, na madrassa ndio zinazopalilia wanawake kuolewa wake wa pili na watuta ect. Kwa style ya mtungo
Hao wenye mahawara nao waanzishiwe uzi, maana huo nao ni upotofu wa maadili. Ila hapa tunazungumzia madrassa na mchango wake katika kufundisha wanawake kukubali kuolewa kwa style ya mtu wake wa4 hadi 7 kuoingana na uwezo wa kifesha na uwezo wa kupiga mashine, manara kwa uwezo wake keshavuta watatuNa huo uzinzi mnaofanya chanzo ni madrasa? Mke mmoja halali mia hawara nao mmepata madrasa elimu hyo? Hakika nyie ni maadui kwetu hvyo sitoweza kubisahana nawe
Mimi kumkaribisha mwl nyumbani kunifundishia watoto naona ni changamotoKuna madrasa kibao nzuri za watu wenye maadili tu na zaidi unaweza lipa mwalimu kuja kuwafundisha nyumbani
Inategemea na walimu wako wazuri tu, tena wakati mwingine inakua nafasi ya watu wa nyumba yako kusoma kwa wakati mmoja,Mimi kumkaribisha mwl nyumbani kunifundishia watoto naona ni changamoto
Manara si Allah wala mtume wetu, sisi tunafwata Allah anachosema kupitia quran na mtume wake sasa na kama manara ana uwezo na Allah ameruhusu wa nne ukiwa na nafasi sisi haitusumbui na kama anaoa na kuacha kwa nia ya kuwachezea pia si juu yetu ni juu ya nafsi yake na allah ndie atakaehukumuHao wenye mahawara nao waanzishiwe uzi, maana huo nao ni upotofu wa maadili. Ila hapa tunazungumzia madrassa na mchango wake katika kufundisha wanawake kukubali kuolewa kwa style ya mtu wake wa4 hadi 7 kuoingana na uwezo wa kifesha na uwezo wa kupiga mashine, manara kwa uwezo wake keshavuta watatu
Ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuona ufalme wa mbinguni.Ni vigumu Sana ngamia kuingia kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia motoni
Sasa hivi watu wanaabudu dini na siyo Mungu. Nimeishi na waislam na wakristo lkn 0.Manara si Allah wala mtume wetu, sisi tunafwata Allah anachosema kupitia mtume wake sasa na kama manara ana uwezo na Allah ameruhusu wa nne ukiwa na nafasi sisi haitusumbui na kama anaoa na kuacha kwa nia ya kuwachezea pia si juu yetu ni juu ya nafsi yake na allah ndie atakaehukumu
Si afikiani na matusi yao lkn angalau tree anakumbuka swala na huenda ktk jitihada zao hizo za swala Allah akajlia uongofu hvyo mtu kutenda dhambi si kigezo cha kuacha yale aliyoamrisha mola wake .Sasa hivi watu wanaabudu dini na siyo Mungu. Nimeishi na waislam na wakristo lkn 0.
Kuna maustadhi muda wote matusi yaani hawezi kuongea bila tusi lkn ikifika mida anaenda kuswali. Hapo ulipo unaangalia mtu wa kumpa msaada ili baadae akusaidie.
Ndoa za mtungo ni upotofu wa maadili, hata kama Allah amewaruhusu, upotofu ni upotofu tu, na upotofu huu unakuzwa zaidi na kumezeshwa kwa wanawake kupitia Madrassa ili wakubali kupigwa mtungo na wanaume wenye tamaa ya ngono. Ngono za mtungo ni upotofu kwa maadili ya jamii, keep Allah out of it.Manara si Allah wala mtume wetu, sisi tunafwata Allah anachosema kupitia mtume wake sasa na kama manara ana uwezo na Allah ameruhusu wa nne ukiwa na nafasi sisi haitusumbui na kama anaoa na kuacha kwa nia ya kuwachezea pia si juu yetu ni juu ya nafsi yake na allah ndie atakaehukumu
Tatzo wewe dereva una stress sana za kuendesha magari ya wenzioNdoa za mtungo ni upotofu wa maadili, hata kama Allah amewaruhusu, upotofu ni upotofu tu, na upotofu huu unakuzwa zaidi na kumezeshwa kwa wanawake ili wakubali kupigwa mtungo na wanaume wenye tamaa ya ngono. Ngono za mtungo ni upotofu kwa maadili ya jamii, keep Allah out of it.
Are you stupid?Kwahyo kuoa mke zaidi ya mmoja ni upotofu wa maadili?Kitendo cha kuwa na carnal knowledge na wanawake wawili kwa wakati mmoja na wanajuana na wanaridhia ni mtungo, hata anapotbea nao kawashika
Wote wawili na uume umemsimama kama mnara tayari ni mtungo, chumbani anaemda kuwamalizia tu. Mtungo ni upotofu wa maadili katika jamii, na chanzo kikubwa ni madrassa
Yawezekana. Ila Madrassa kama chombo cha kukuza michezo ya kupigana mtungo si kitu cha kupromote mitandaoni kama ulivyojaribu kufanya.Tatzo wewe dereva una stress sana za kuendesha magari ya wenzio
Ofcourse ni upotofu wa maaadili, Kupigana mtungo ni upotofu wa maadili ndio, its obvious, are you Stupid??! Watu wenye ulafi wa ngono hutumia dini kama loophole, type ya kina doctor mwaka!Are you stupid?Kwahyo kuoa mke zaidi ya mmoja ni upotofu wa maadili?
mnatia aibu dini chafuFamilia/mzazi/mlezi itakkayofanikiwa kuwa mtoto atakayehifadhi Quran kifuani mbele Allah ataombwa awaombee msamaha watu kadhaa Sasa akifanikiwa kukutaja wewe umepona.
Tuwahimize watoto wahifadhi Quran.
Ushauri katika hili ninkwamba watoto wafumdushwe herufi kama vile wanavyosomeshwa 'a' 'e' 'i' 'o' 'u'.
Kule madrasa ataweza kusoma vizuri na hatachukua Muda mrefu kujifunza na kusoma.
Sio kama enzi zetu tikuwa tukiimba
Japo inachekesha, ila hii video imeniumiza sana, nimeona aibu kabisa, khaaa!!!!mnatia aibu dini chafu
Muhammad alikuwa anapiga mtungo wanawake 9 kwa siku bila kuogaManara si Allah wala mtume wetu, sisi tunafwata Allah anachosema kupitia mtume wake sasa na kama manara ana uwezo na Allah ameruhusu wa nne ukiwa na nafasi sisi haitusumbui na kama anaoa na kuacha kwa nia ya kuwachezea pia si juu yetu ni juu ya nafsi yake na allah ndie atakaehukumu
Post unaileta wewe na unashangaa wewe kwa msisitizo sasa unataka sisi tufanyeje!Natumai nyie ni wazima wa afya Leo nimeona nilete huu ushauri kwa wazazi wa kiislam kuwa tujitahidi sana watoto wetu waende madrasa wapate elimu ya dini Elimu ya kawaida tunajua ni muhimu sana na kwasasa kila muislam kaamka kuhusu elimu ya kawaida ila naombeni tu msiache kuwapeleka watoto madrasa. Ikishindikana kabisa hakikisha mwanao anapata access ya elimu ya dini maana hii dunia ya sasa hii huko tuelekeapo ni pabaya sana shetani yupo kazini kwelikweli. Sahivi vita iliyopo duniani ni vita dhidi ya maadili tunaona jinsi ushenzi wa kimagharibi na maadili yasiyofaa kutoka West yanavyolitesa bara la Afrika na Waafrika hadi Asia na Latin pia wamekua ni wahanga wakubwa wa kupotoka maadili kunakosababishwa na nchi za magharibi Ni muhimu sana kwa watoto wetu wapate elimu ya dini, mimi wangu wanasoma Day na ni private lakini nahakikisha madrasa wanaipata hata kama mimi baba yao sijaweza kusimama mwenyewe imara kidini lakini sitaki watoto wangu waje kuwa kama mimi nataka watoto ambao watakua kusimama na kuielewa dini vizuri leo na kesho Huo ndo ujumbe wenu kwenu #Kimaro.........
Kwa hivyo mitungo ya nyumba ndogo inayozalisha watoto wa nje iko sawa, au unasemaje? Maana kila siku humu watu wanajisifu kuwa na michepuko kadhaa bila ya hofu.Wasichana waliosoma madrassa ndio wanaongoza kwa kuolewa wake wawili wawili na kupigwa mitungo kama akina wa haji manara. Huo ni upotufu mkubwa wa maadili kupigana mitungo