Ushauri kwa wazazi wa Kiislam: Wapelekeni watoto Madrasa

Asee pepo ya waslamu kumbe inatoa mashavu kwa alieenda anachagua mmoja wa kujumuika nae,asee naanza kuishi vizur na waslamu
 
Hiv Allah ndo Mungu huyu huyu tunaembiwa ndo atakaetuandalia mbingu cjui peponi au sisi wakristo tuna Mungu wetu
Mungu ni mmoja ambaye hakuzaa wala kuzaliwa, hana mshirika ktk mambo yake na yeye tunamuabudu na kumtaka msaada, mmiliki wa siku ya malipo ni sifa njema anastahiki yeye aliyeumba mbingu na ardhi na ndani yake akatuumba sisi tumuabudu
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mungu ni mmoja ambaye hakuzaa wala kuzaliwa, hana mshirika ktk mambo yake na yeye tunamuabudu na kumtaka msaada, mmiliki wa siku ya malipo ni sifa njema anastahiki yeye aliyeumba mbingu na ardhi na ndani yake akatuumba sisi tumuabudu
Mbona wasalm kawaahidi mizigo 72 afu sisi hajatupa izo habari kabisa hata kwa mbali,

Ikawaje Mungu huyo huyo amtume Yesu afu amfufue afu tena amtume Mtume S.A.W afu afe mazma mpk leo,au Mungu ni mbaguz
 
Wewe tayari umezikosa bikira mizigo 72
Me waslam ndo wananiacha hoi kuna iyo nimekutana nayo umu eti atakaeenda kwny pepo yao atapewa nafas ya kumchagua mdhamb mmoja akajumuike na S.A.W
 
Kama uligundua alikua govi, bila shaka Hadi wewe alikupitia Sasa umejuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…