Ushauri kwa Wazazi : Wazazi hata kama mnapendana kiasi gani chonde chonde nawaomba msifanye mapenzi mbele ya Watoto

Uliwachungulia ama? Ulichoshauri ni sawa, kwa ajili ya maadili na utimamu wa saikolojia ya mtoto. Ila hilo la kuwashuhudia ndio linaleta taabu, ulipiga chabo ama wewe ni kichaa walifanya mbele yako na hukuona tabu kuwabatua makofi.
 
Uliwachungulia ama? Ulichoshauri ni sawa, kwa ajili ya maadili na utimamu wa saikolojia ya mtoto. Ila hilo la kuwashuhudia ndio linaleta taabu, ulipiga chabo ama wewe ni kichaa walifanya mbele yako na hukuona tabu kuwabatua makofi.
Mkuu soma vizuri nilichoandika utanielewa nimeshuhudia sijachungulia
 
Ni moja ya vitu vya aibu sana maana Hawa watoto wako vizur sana kwenye kuiga kitu chochote ambacho wazaz wanafanya ndan

Kuna video niliiona ni aibu na inasikitisha mtoto wa umri miaka mitatu minne ila umri huo wakiwa wanafanya Hilo tendo wakike juu wakiume chini

Astaqafilullah ni huzuni
 
Unawaelewa wewe zaidi maana labda ni kichaa mwenzao
Mkuu elewa ninaposema sio vichaa kwa hio usilazimishe niseme kinyume na uhalisia wewe ndio utakua kichaa, asante kwa kuchangia mada
 
ni kweli wazazi vichaa nakubali
Kuna kichaa anaeoa mke kisha anajenga nyumba na kusomesha watoto wake shule za gharama? Wewe ndio utakua una kichaa usije ukafanya huo ujinga mbele ya watoto ukasingizia una kichaa
 
Watu wanakataa ila mimi nimeshuhudia kwa macho sasa watoto wanaiga huoni km hio ni mbaya, najaribu kushauri watu wanaanza kuhamisha mada kwamba wazazi ni vichaa sio vichaa ni uzumbukuku wa mapenzi tu na kujisahau wewe mzazi usifanye mapenzi mbele ya watoto hata iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…