Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Uliwachungulia ama? Ulichoshauri ni sawa, kwa ajili ya maadili na utimamu wa saikolojia ya mtoto. Ila hilo la kuwashuhudia ndio linaleta taabu, ulipiga chabo ama wewe ni kichaa walifanya mbele yako na hukuona tabu kuwabatua makofi.Nimeshuhudi ndio maana nimeandika nimeshuhudia zaidi ya mara moja, elewa mkuu
Ni wazazi sio kutaniko la wazazi na wapo wengi wanaofanya hivyo lakini haipendezi kufanya hivyo mbele ya watoto hata km ndio mmeshapiga kinywaji kimewakolea basi nendeni chumbani wazazi msiwaonyeshee watoto