Nimemsikia waziri wa michezo akisema majina makubwa yataachwa kwenye timu ya taifa, na anasema wataenda kijiji kwa kijiji kutafuta wachezaji.
ukweli ni kwamba Waziri hata kwa mbinu hiyo hutapata timu. Mpira au mchezo wowote duniani ulishatoka kwenye vipaji.
Kanuni ya kupata wanamichezo ni
Kipaji + mafunzo = wanamichezo bora.
sisi hatuna mafunzo, hivyo hatuwezi kupata wanamichezo bora.
Ushauri.
wizara ya michezo kwa kushirikiana na wizara ya elimu zifungue shule za michezo kila mkoa.
watoto kuanzia darasa la nne au la tano waishi katika shule za bweni wakifundishwa mpira wa miguu, tenis, kukimbia, n.k
watoto waandaliwe mitaala yenye masomo muhimu tu, lakini mda mwingi mtoto anasoma mchezo wake na kufanya mazoezi.
tuchukue mitaala kutoka ulaya, tulete walimu wafundishe wakufunzi wetu, tununue vifaa.
jinsi ya kupata hawa watoto ni kutoka mashindano ya umitashumita.
miaka 10 ijayo tutakuwa na timu nzuri sana za michezo lakini tukiendelea hivi tulivyo miaka 20 hatutakuwa na kitu cha maana.