Hilo halipo.Kadi nyekundu wamepewa kiulaini sana na imewaua na kuharibu ladha ya mpira
Tunataka kuona ubora wa wachezaji wetu na timu yetu yanga
Hatuwezi kuona ubora kwa usahihi kwa kucheza na timu pungufu
Kama rafu hata sisi tumecheza nyingi ila refa hajatupa kadi
Tumpe nafasi mgeni wetu.. mechi ni ya kirafiki tu hiii.. tumbebe mgeni wetu kufuta ile red card
mbumbumbu fc hamjui hata sheria za kadi ya njano na nyekundu, mnaishia kusema mbelekosahau hilo,si unaona wamepewa mbeleko ya red card