Ushauri kwenu wanaume: Acheni kuwadanganya wanawake, elezeni ukweli wenu

Ushauri kwenu wanaume: Acheni kuwadanganya wanawake, elezeni ukweli wenu

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.

Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani? Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.

Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.

Muwe na wakati mwema
 
Wewe kila nyuzi unazoandika huwa ni za kulalamikia wanaume wa Jf, inamaana hujifunzi kutokana na matukio unayopigwa na hao wanaume (wa jf), au labda pengine pamoja na kujua tabia zao bado maisha yako yanakulazimu kuendelea kijitongozesha kwao?

Mwanaume gani anaejiamini na aliyeridhika na maisha atakuja kutongoza humu kwenye anonymity, yani awaache wale wazuri anaowaona kwa macho huko kitaa aje kwako humu au hilo nalo mpaka uelekezwe? Wewe na wao ni fungu moja.
 
Chema chajiuza kibaya chajitangaza ni msemo tu
 
Sikuhz watu hawana hofu ya Mungu kabisa wamejisahaulisha kama uongo ni dhambi, na pia wanahofia kusema ni Mme wa mtu coz hawatokubaliwa kirahisi[emoji848]
 
Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.

Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani?

Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.

Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.

Muwe na wakati mwema
Jipumzishe na social media kidogo zima smatifoni weka kwenye begi kaa hata wiki mbili bila kuitumia. Tumia hizo siku kwa kulala vya kutosha, mazoezi na kutembelea maeneo ya ufukweni au mbuga ya wanayama. Natumaini mood yako ita improve, navokuona hauko fit kisaikolojia, ikibidi nenda hospitali kamuone therapist
 
pole sana kwa kupgwa na kitu kizoto.
Sijapigwa na kitu kizito tu nileo nimeenda kurepair dread zangu sasa nikasikia wadada wanamvyomteta mwanaume fulani kuhusu kumwambia yeye ni single na wamezaanaye mtoto na miaka 2 yote hajajua kuwa ni mume wa mtu ameamua kitu kibaya huyo mwanaume na nikibaya
 
Unique Flower nilishakwambia mtaje jina nikusaidie kumchambaaaa....😀😀

jf haiwez kuwa na matapeli wa mbususu hlf tuwachekee
Sijapigwa na kitu kizito tu nileo nimeenda kurepair dread zangu sasa nikasikia wadada wanamvyomteta mwanaume fulani kuhusu kumwambia yeye ni single na wamezaanaye mtoto na miaka 2 yote hajajua kuwa ni mume wa mtu ameamua kitu kibaya huyo mwanaume na nikibaya
 
Umesema ukwel ila mwanamke siku zote ukimwambia ukwel humpati ng'oo sema ngoja twende na hii formula uongo kwanza ukwel badae
Wewe ndio umeelewa kuwa sina shida ni ushauri nimeutoa
 
Back
Top Bottom