Ushauri kwenu wanaume: Acheni kuwadanganya wanawake, elezeni ukweli wenu

Wanaume wote ni single haijalishi ameoa au hapana.
Nyie wanawake huwa hampendi kuambiwa ukweli.
Ukose mbususu kwa kusema ukweli. Hapana
Michepuko iambiwe ukweli vaa pete uonekane wewe ni mume wa mtu. Sema ukweli ili ahida isijitokeze ajue mipaka yake.
 
Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.

Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani? Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.

Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.

Muwe na wakati mwema
Mmh
 
Shida yenu kubwa nyinyi wanawake watu wakweli hamtutaki. Mi mwenyewe zamani nilikuwaga mkweli nikapataga demu mmoja mbaya kama mbibi vile watu kumbe wananicheka kisogoni. Ila nilipochangamka na kuanza uongo nimekula mpaka mzungu, mwarabu, mchina na msomali. Wa kibongo hao ndo usiseme hakuna mkoa ambao sijala.
 
Back
Top Bottom