Ushauri kwenu wanaume: Acheni kuwadanganya wanawake, elezeni ukweli wenu

Hata mwanamke wa Kawaida lazima utumie uongo unless amekuelewa au una hela za kumuonga
Naona jamaa unielewi na hujanielewa mimi nimepiga uongo kutumia ikiwa wewe ni Mume wa mtu lakini kwa mambo mengine Unaweza kuutumia
 
The same here i am single and not ready to mingle in JF halafu sungle meaning sijaolewa
OK, Asante sana, haya mambo watu wanayachukulia kijuujuu tu lakini unapoji angage yanajenga na kuwa commitment sasa wengi hawapendi kuwa committed, na suala zima la mapenzi na pia ikumbukwe mapenzi au upando sio kuparamiana kimapenzi hapana wengi hudhani hilo ndio la msingi, which not!, mapenzi kimsingi huishi ndani ya moyo, kumwona mpenzi wako na kufurahi kula pamoja kuche ka, and all that add joy, umeona mummii!
*Don't you wish to be a wife of somebody one day? I don't mean here ladie, be serious
 
Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.

Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani?

Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.

Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.

Muwe na wakati mwema
Ukiambiwa ukweli utatoa mbususu..!? Nyie hamuendi bila kamba
 
OK, Asante sana, haya mambo watu wanayachukulia kijuujuu tu lakini unapoji angage yanajenga na kuwa commitment sasa wengi hawapendi kuwa committed, na suala zima la mapenzi na pia ikumbukwe mapenzi au upando sio kuparamiana kimapenzi hapana wengi hudhani hilo ndio la msingi, which not!, mapenzi kimsingi huishi ndani ya moyo, kumwona mpenzi wako na kufurahi kula pamoja kuche ka, and all that add joy, umeona mummii!
*Don't you wish to be a wife of somebody one day? I don't mean here ladie, be serious
Yes i want to be a wife of some body
 
Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.

Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.

Tutakumbukaje mkuu wakati huo tushakua matahira na vichaa?
 
mchepuko akijua una mke ndo nuksi inaanza, mwingine ataiba namba ya mkeo amtafute ukizingua lazima aku-blackmail. Kwanza utachukuaje mchepuko mtaa unaoishi? Kama unakaa Kigamboni chukua mchepuko Kimara , siku moja moja vaa pete ya ndoa hata kama huwa huvai atajiongeza mwenyewe baadaye unajipigia tu na yeye ashajiongeza una mke, sasa amjue mke wako umeambiwa ni ndugu?
[emoji23]
 
Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.

Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani?

Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.

Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.

Muwe na wakati mwema

We vipi wewe.... sasa hizi hasira ulizo nazo baada ya kujua huyo ni mume wa mtu unadhani angekwambia yeye ni mume wa mtu ungemkubalia?

Shida ni kwamba mkiambiwaga ukweli mnabana sana hayo mapaja kwa hiyo mwanaume lazima atumie mbinu yoyote ile kuyalegeza.
 
Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.

Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani?

Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.

Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.

Muwe na wakati mwema
Pole sana mkuu
 
Nimekuwa mkweli kwa wanawake maisha yangu yote, ingawa imenigharimu, ila imenishushia mzigo.
 
We ukutane na mtu anamiaka 37+ utamwaminije kama hana mke?
 
Huwezi.mpata demu kwa kumwambia ukweli hiyo kitu nime experience sana hii kitu.
 
Wanaume wasiojiamini/kujitambua ni waongo kweli,

Kwanza mtu nikigundua ni muongo,namzarau kweli sijui namuonaje[emoji706][emoji706]
 
Kuna uzi niliuandika dada zangu wengi walipinga
Ila humu kwenye hii thread still bado wanalalamika. Huo ndio ukweli hata mkipinga playboy, muhuni husiitegemee aseme ukweli anapotaka jambo lake hapo ni mwendo wa kamba l na kuna wana unaweza kusema wana vitabu ,kamba hii ikikataa anafungua chapter nyingine, yani demu anapigwa kamba kwa chapter.
 
Back
Top Bottom