Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kwa taarifs yako wanawake wanapenda sana uongo
Ukiwa mkweli unawakosa kabisa
Naongoa kutokana na uzoefu
Ukiwa mkweli unawakosa kabisa
Naongoa kutokana na uzoefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa mkweli unaonekana zobaUmesema ukwel ila mwanamke siku zote ukimwambia ukwel humpati ng'oo sema ngoja twende na hii formula uongo kwanza ukwel badae
Punguza hasira.Hasara itakuja kwako sio kwake.Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.
Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani?
Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.
Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.
Muwe na wakati mwema
Ulivyopangilia nikama bible
Haya mama[emoji16]Mimi sina stress na raha za maisha sana tu labda kitu kidogo kinachonipa stress ni hili moja tu hela nitazijazaje mimi sina muda na wanaume.
Kweli social media ni nzuri sana .
Zinakusaidia urelax ni kweli soon nitauchukua ushauri wako.
Nimeshaenda hospitali na pia sina shida ya akili labda wewe unashida fulani ya kunitaka nikuseme vibaya .
Jingine laiti ungejua no minder nakazi nyingi ikiwemo kuagua .
Una miguu mizuri. HongeraNatamani kucheka naogopa[emoji38][emoji38][emoji38]
Ila natumaini ujumbe umewafikia…
Tukiwa wakweli mbususu hatuzipati ng'o!Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.
Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani?
Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.
Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.
Muwe na wakati mwema
Dogo lini umeanza kuishi na mwanamke?Haha, me niliishigi na mwanamke for 3yrs kama mke na mume ila tuliachana mwaka jana nilifuma messages za yeye na mchepuko wake (sponsor) mwanamke anamwambia Sponsor kuwa hana mtu na hapo alipo anaishi kwa Uncle wake, Yaani kwangu mimi ndo kwa uncle wake kwahiyo mimi ni uncle kwake "Oyaaaa we malaya toa nje vitu vyako sitaki kukuona mbele ya macho yangu..."
haha umesahau uzi wangu wa robert upo nyuma kichizi, mwaka jana mwishoni ndo tuliachanaDogo lini umeanza kuishi na mwanamke?
SawaExactly, yan kama unataka kuwa mtu wa kunyanduana tuu just say it, sio ohoo nakupenda, hakuna zaid yako, mimi sio kama wengine, we are tired na hizo bullshit jmn.
Kama umeoa sema ukwel kwamba "nimevutiwa na wewe ila mimi nimeshaoa. Au tuwe na mahusiano lakin lengo la kukuoa sina, hata mtu akikubali anajua vipi amejipanga moyoni mwake, ili tuepushe mambo ya kulizana lizana.
Wanaume wengi hutamani kusema ukweli ila mara nyingi ukweli hauletagi matokeo tarajiwa.Exactly, yan kama unataka kuwa mtu wa kunyanduana tuu just say it, sio ohoo nakupenda, hakuna zaid yako, mimi sio kama wengine, we are tired na hizo bullshit jmn.
Kama umeoa sema ukwel kwamba "nimevutiwa na wewe ila mimi nimeshaoa. Au tuwe na mahusiano lakin lengo la kukuoa sina, hata mtu akikubali anajua vipi amejipanga moyoni mwake, ili tuepushe mambo ya kulizana lizana.
Tabu inaanzia ambapo ukiwa mkweli kuwa ni mume wa mtu, huna mishe unaganga ganga njaa tu, huna gari, huna hela we jua ukilisema moja wapo kati ya hayo chances za kupata washeli ya mtoto wa kikeAcheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.
Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani?
Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.
Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.
Muwe na wakati mwema
Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.
Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani?
Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.
Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.
Muwe na wakati mwema
Pole sana #flower lakini laha si mlipata wote?Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.
Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani?
Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.
Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.
Muwe na wakati mwema
Unaroho ngumu kweli...!Na mie demu akiniambia hivyo namuitikia tuu lakini najua nikishamkoleza romance hapo ni mwendo wa kavu. Yaani gharama ya guest nauli chakula vinywaji alafu nigegede na condom! Huo ni ufala sii bora nipige nyeto tuu
Bila roho ngumu kwa hawa viumbe kila leo utaliaga wewe tuuUnaroho ngumu kweli...!