Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
mchepuko akijua una mke ndo nuksi inaanza, mwingine ataiba namba ya mkeo amtafute ukizingua lazima aku-blackmail. Kwanza utachukuaje mchepuko mtaa unaoishi? Kama unakaa Kigamboni chukua mchepuko Kimara , siku moja moja vaa pete ya ndoa hata kama huwa huvai atajiongeza mwenyewe baadaye unajipigia tu na yeye ashajiongeza una mke, sasa amjue mke wako umeambiwa ni ndugu?Unapokuwa na uhusiano na binti yoyote Alafu wewe ni Mume wa mtu ni vizuri ukawa mkweli kwasababu itakusaidia hata kumanage familia yako na huyo mchepuko kwasababu mchepuko atakuwa anajua mipaka yake ni ipi ila unapokuwa sio muwazi kuna hasara kubwa kuzidiwa kwa upande mmoja ndio maana wanasema huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja