Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Kwakifupi tunaweza sema wanaume wote wawe kama mimi, nasema uongo ndugu zangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sina stress na raha za maisha sana tu labda kitu kidogo kinachonipa stress ni hili moja tu hela nitazijazaje mimi sina muda na wanaume.Jipumzishe na social media kidogo zima smatifoni weka kwenye begi kaa hata wiki mbili bila kuitumia. Tumia hizo siku kwa kulala vya kutosha, mazoezi na kutembelea maeneo ya ufukweni au mbuga ya wanayama. Natumaini mood yako ita improve, navokuona hauko fit kisaikolojia, ikibidi nenda hospitali kamuone therapist
Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.
Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani?
Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.
Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.
Muwe na wakati mwema
Cheka mwaya maana nilichosikia kwa wadada fulani saloon leo nikaogopa kuwa wanaume walioa wasipokuwa makini wasichana wadogo wao sio wazamani watafanya mbovu .Natamani kucheka naogopa[emoji38][emoji38][emoji38]
Ila natumaini ujumbe umewafikia…
Usidhubutu kuandika hivi tena hii sio biblia heshimu kitabu kitakatifuAya sawa Polee kwa yaliyo kusibu ila kwenye kutabu cha uwongo 12:22""Bila kusema uwongo utaishia kuwatazama kwa macho kama mtu alie pigwa na rungu kichwani""😁
Naona kama vice versa, ukiwa muongo plus mixer uigizaji utawadaka 80% ya wanawake.Mwanamke unaweza ukamwambia "nitakujengea gari ....." na akakuamini.Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.
Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani?
Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.
Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.
Muwe na wakati mwema
Usidhubutu kuandika hivi tena hii sio biblia heshimu kitabu kitakatifu
Sasa mbona mbususu mnazibania mkiombwa hapa na married menWasijesema hawajasikia
Wee unataka kuwafanya warembo watunyime mbususu day oneMna tamaa na kukimbilia kuvua vyupi kwa ahadi bila kuchunguza kwanza...unatongozwa leo leo ,unapewa ahadi leo na unavua kyupi na kuweka miguu juu kama popo leo leo, huyo mwanaume atakuwa mjinga akikuoa.
Kuolewa siyo issue mkuu,issue kubwa kuitunza hiyo ndoa.Maana kiuhalisia wanappata tendo la ndoa Kwa nadra ni wanaume 😉Mna tamaa na kukimbilia kuvua vyupi kwa ahadi bila kuchunguza kwanza...unatongozwa leo leo ,unapewa ahadi leo na unavua kyupi na kuweka miguu juu kama popo leo leo, huyo mwanaume atakuwa mjinga akikuoa.
sasa inasaidia nini kinyimwa hilo tendo,ndani ya ndoa kuna mda ukifika hata ugeukie ukutani mwanaume hakugusi labda kama amelewa , kila siku inachosha kurudia rudia msosi mmoja.Kuolewa siyo issue mkuu,issue kubwa kuitunza hiyo ndoa.Maana kiuhalisia wanappata tendo la ndoa Kwa nadra ni wanaume 😉
warembo hawawezi kunyima mbususu,mbinu za kibaharia zinaibuka kila sikuWee unataka kuwafanya warembo watunyime mbususu day one
Yani mama angu sisi bila kudanganywa mambo hayataendaAcheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.
Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani?
Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.
Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.
Muwe na wakati mwema
Sasa sii hiyo mbinu tayari inaleta matokeo fasta tuu first day ulishakula mbususuwarembo hawawezi kunyima mbususu,mbinu za kibaharia zinaibuka kila siku
Unapokuwa na uhusiano na binti yoyote Alafu wewe ni Mume wa mtu ni vizuri ukawa mkweli kwasababu itakusaidia hata kumanage familia yako na huyo mchepuko kwasababu mchepuko atakuwa anajua mipaka yake ni ipi ila unapokuwa sio muwazi kuna hasara kubwa kuzidiwa kwa upande mmoja ndio maana wanasema huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmojaHupendezwi na wanaume wanaomla kwa uongo, ila kujirahisisha kwake kwa wanaume ni sawa?
siku hizi hawakatai , utaambiwa mawili tu.Sasa sii hiyo mbinu tayari inaleta matokeo fasta tuu first day ulishakula mbususu
Na mie demu akiniambia hivyo namuitikia tuu lakini najua nikishamkoleza romance hapo ni mwendo wa kavu. Yaani gharama ya guest nauli chakula vinywaji alafu nigegede na condom! Huo ni ufala sii bora nipige nyeto tuusiku hizi hawakatai , utaambiwa mawili tu.
1. Tumia condom
2.Usimwage ndani