Ushauri kwenu wanaume: Acheni kuwadanganya wanawake, elezeni ukweli wenu

Ushauri kwenu wanaume: Acheni kuwadanganya wanawake, elezeni ukweli wenu

Tena uongo mwingine unavuka hadi mipaka ya utu na ubinadamu, watu wanaenda hadi kutambulishana kwa wazazi kumbe mtu ni mume wa mtu. Mtakuja mlogwe vibaya sana kwenye familia za watu mbakie na majuto yasiyoisha.
 
Kwa hiyo kuloga ndio imekuwa kimbilio kubwa kwenu, mabazazi wenzangu tujizindike kikamilifu.
 
Mimi sina stress na raha za maisha sana tu labda kitu kidogo kinachonipa stress ni hili moja tu hela nitazijazaje mimi sina muda na wanaume.
Kweli social media ni nzuri sana .
Zinakusaidia urelax ni kweli soon nitauchukua ushauri wako.

Nimeshaenda hospitali na pia sina shida ya akili labda wewe unashida fulani ya kunitaka nikuseme vibaya .
Jingine laiti ungejua no minder nakazi nyingi ikiwemo kuagua .
"Sina shida na Wanaume" Kuna mwanaume aliujeruhi moyo wako na mpaka Leo hujapona jeraha la moyo

Kikawaida out of nowhere ni mzima kabisa huwezi sema Sina shida na Wanaume
 
Exactly, yan kama unataka kuwa mtu wa kunyanduana tuu just say it, sio ohoo nakupenda, hakuna zaid yako, mimi sio kama wengine, we are tired na hizo bullshit jmn.
Kama umeoa sema ukwel kwamba "nimevutiwa na wewe ila mimi nimeshaoa. Au tuwe na mahusiano lakin lengo la kukuoa sina, hata mtu akikubali anajua vipi amejipanga moyoni mwake, ili tuepushe mambo ya kulizana lizana.
Mwanamke anayejiheshimu umwambie tuwe na mahusiano ya kunyanduana na akubali ni ngumu, Malaya na wadangaji ndo wanaokubali ukiwaambia hivyo
 
Haya mnasema hapa nyuma ya marimba ya mzungu ila reality sio hivyo.
Wengi wenu either u start developing serious feelings ama mwanamke atakubali hilo kama kuna financial gains
 
Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.

Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani?

Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.

Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.

Muwe na wakati mwema
Bibie unashindwaje kutujua kama sisi tumeoa ?

Yaani unashindwaje kumjua Mwanaume aliye oa, hata kama anakudanganya ?
 
Shekhe kweli?Nisaidie aya gani 😀😀😀
Katika uislam uongo aina 3 umeruhusiwa kwenye UISLAM.
Moja wapo mume kumdanganya mkewe.
Mungu anajua alivyoziumba akili zenu na anajua yule nyoka alimwambia Nini mama yenu hawa
 
Mwanamke anayejiheshimu umwambie tuwe na mahusiano ya kunyanduana na akubali ni ngumu, Malaya na wadangaji ndo wanaokubali ukiwaambia hivyo
Mwanamke anayejiheshimu ni yule anayobikra basi wote ni malaya tu kwa sababu wamezini na unavyosema malaya na wanaojiuza wewe mwenyewe unajiuza na nimalaya sema hujajijua kwa kivipi . Tu mwenyewe huna bikra umevunjwa na hao unao wahita malaya halafu hao malaya ndio wanakukubali ukiwa una minyege yako na hao wanawake wenye heshima wakikunyima kisa huna hela .
 
Ila hii issue ni very serious japo tunaichukulia namna fulani ya kutokujali,najaribu kufikiri wanawake wangapi wamelia machozi kwa kudanganywa na sisi wanaume?Ni kweli hata wanawake wanadanganya lakini kwa ukubwa wa tatizo wanaume Mungu anatuona Wallah tutachomwa tusipobadilika 😀😀.
Kuna mambo yanaweza kutokwenda katika maisha kwa machozi ya mwanamke uliyewahi kumdanganya kwa kiwango cha kutamani kufa kama si kuwa mgonjwa baada ya kujua umemdanganya.Kuna watu wanavidonda vya tumbo,presha mpaka leo Kama matokeo ya kujua walidanganywa na mtu aliyeficha ukweli point fulani.
Karma 😀😀 what goes around comes around kama sio kwetu tufikiri kwa uzao wetu.
Dada asante kuleta hii mada umetukumbusha.🙏
 
Mie nilizwe na mwanaume wa mtu weeh sii hingoma labda ingine
Kinachomfanya mtu alie ni zile promises walizokuwa wanazipanga possible a girl aliweka mno akilini, so then turnout lately a misery after a guy quitout all, lakini angepata let say mtu mstaarabu kama mm sidhani kama ningefanya hivyo, unajua umakini unahitajika sana katika issue hizi, waaminifu na politemen ni wachache sana indeed I still topingup, hey ladies be keen.
 
Kinachomfanya mtu alie ni zile promises walizokuwa wanazipanga possible a girl aliweka mno akilini, so then turnout a misery after a guy quitout all, lakini angepata let say mtu mstaarabu kama mm sidhani kama ningefanya hivyo, unajua umakini unahitajika sana katika issue hizi, waaminifu na politemen ni wachache sana indeed I still topingup, hey ladies be keen.
The same here i am single and not ready to mingle in JF halafu sungle meaning sijaolewa
 
Back
Top Bottom