Ushauri kwenu wanaume: Acheni kuwadanganya wanawake, elezeni ukweli wenu

Ushauri kwenu wanaume: Acheni kuwadanganya wanawake, elezeni ukweli wenu

Kuna mwanamke alikuwa ananipenda Sana ila baada ya kumwambia ukweli baada ya siku mbili akaniambia hana hisia na Mimi, na mbususu hata sikupata.

NB: WANAWAKE TUTAWADANGANYA MPAKA MAJI MUITE MMA MKITUROGA NA SISI TUNAWAROGA TIT FOR TAT
 
Kueni siliasi kweli umri huu nakudanganya na wewe unakubali ? Mtavuliwa Sana vyupi
 
Yaani umedanganywa na boyfriend wako basi hasira unaleta kwa wanaume wote dunia nzima unadhani wote wapo kama huyo boyfriend wako alivyo muongo,

Na inawezekana wala boyfriend wako hakuwa na hulka ya uongo sema amekusoma akakuona mtu wa tamaa sasa atakuoata namna gani , ndio akatumia mbinu za kivita , wanawake wenye tamaa huwa wananaswa na wanaume kama panya anavyo naswa kwenye mtego , punguza tamaaa upate mwanaume mkweli
 
Mwanamke anayejiheshimu ni yule anayobikra basi wote ni malaya tu kwa sababu wamezini na unavyosema malaya na wanaojiuza wewe mwenyewe unajiuza na nimalaya sema hujajijua kwa kivipi . Tu mwenyewe huna bikra umevunjwa na hao unao wahita malaya halafu hao malaya ndio wanakukubali ukiwa una minyege yako na hao wanawake wenye heshima wakikunyima kisa huna hela .
Kuna wanawake bikra zinatokea bila hata kufanya mapenzi,
Moyo wako una majeraha unahitaji tiba
 
Sijapigwa na kitu kizito tu nileo nimeenda kurepair dread zangu sasa nikasikia wadada wanamvyomteta mwanaume fulani kuhusu kumwambia yeye ni single na wamezaanaye mtoto na miaka 2 yote hajajua kuwa ni mume wa mtu ameamua kitu kibaya huyo mwanaume na nikibaya

Hii kitu imeenea sana nowdays

Kuna dada mpaka kapelekwa nyumbani kwa mume
Kumbe mume wa mtu
Dada alikabidhi mpaka password za bank maskin[emoji119]
 
Haha, me niliishigi na mwanamke for 3yrs kama mke na mume ila tuliachana mwaka jana nilifuma messages za yeye na mchepuko wake (sponsor) mwanamke anamwambia Sponsor kuwa hana mtu na hapo alipo anaishi kwa Uncle wake, Yaani kwangu mimi ndo kwa uncle wake kwahiyo mimi ni uncle kwake "Oyaaaa we malaya toa nje vitu vyako sitaki kukuona mbele ya macho yangu..."

Sasa mwanamke umeishi nae 3yrs bila ndoa
Si na yeye keshaona Hamna mwelekeo Bora akuite uncle tu
 
Sijapigwa na kitu kizito tu nileo nimeenda kurepair dread zangu sasa nikasikia wadada wanamvyomteta mwanaume fulani kuhusu kumwambia yeye ni single na wamezaanaye mtoto na miaka 2 yote hajajua kuwa ni mume wa mtu ameamua kitu kibaya huyo mwanaume na nikibaya

Katika vitu tusivyoogopa ni Vitu vibaya vya wanawake.
Hata mngepanga kufanya nini wanaume hawawazagi mambo yenu
 
Exactly, yan kama unataka kuwa mtu wa kunyanduana tuu just say it, sio ohoo nakupenda, hakuna zaid yako, mimi sio kama wengine, we are tired na hizo bullshit jmn.
Kama umeoa sema ukwel kwamba "nimevutiwa na wewe ila mimi nimeshaoa. Au tuwe na mahusiano lakin lengo la kukuoa sina, hata mtu akikubali anajua vipi amejipanga moyoni mwake, ili tuepushe mambo ya kulizana lizana.
Sasa nikikwambia sina mpango wa kuoa nataka nikunyandue utanielewa kweli ?

Vitu vingine havitaaji maelezo
 
Hii kitu imeenea sana nowdays

Kuna dada mpaka kapelekwa nyumbani kwa mume
Kumbe mume wa mtu
Dada alikabidhi mpaka password za bank maskin[emoji119]
Sasa huyo dada amfanye msukule huyo mwanaume, ili amkomeshe.
 
Poleni sana, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.

Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani?

Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.

Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.

Muwe na wakati mwema
Huwa unachukua muda gan kuwachunguza? Mpaka unadate na Mume wa mtu inathibitisha wewe siyo Mchoyo, Ahsante endelea kugawa utamu.
 
Huwa unachukua muda gan kuwachunguza? Mpaka unadate na Mume wa mtu inathibitisha wewe siyo Mchoyo, Ahsante endelea kugawa utamu.
Karibu sana nawewee ugawiwe ila ninao wagawia wanalipa kodi ml 5 kwa mwezi na matumizi halafu kingine hawatumii tigoo. Wanajali sana.
 
Shekhe kweli?Nisaidie aya gani 😀😀😀
Hyo ni Hadith ya mtume.uongo mwingine NI ndugu waliogombana ukitumia uongo kuwapatanisha na ukiwa mateka unaweza kuwadanganya watekaji wako ili uachiwe.
 
Back
Top Bottom