Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Hupendezwi na wanaume wanaomla kwa uongo, ila kujirahisisha kwake kwa wanaume ni sawa?Binafsi sipendezwi na mtu ni Mume wa mtu alafu unamdanganya binti wa watu tunaweza kuwa tunadanganya lakini isiwe issue sensitive kama hii
Jipumzishe na social media kidogo zima smatifoni weka kwenye begi kaa hata wiki mbili bila kuitumia. Tumia hizo siku kwa kulala vya kutosha, mazoezi na kutembelea maeneo ya ufukweni au mbuga ya wanayama. Natumaini mood yako ita improve, navokuona hauko fit kisaikolojia, ikibidi nenda hospitali kamuone therapistAcheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.
Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani?
Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu, vichaa kisa uongo.
Watu siku hizi hawataki utani wanataka watu wanaojitambua .
Mnaelewa jifanyeni mnajua ipo siku mtalikumbukia hili.
Muwe na wakati mwema
Sijapigwa na kitu kizito tu nileo nimeenda kurepair dread zangu sasa nikasikia wadada wanamvyomteta mwanaume fulani kuhusu kumwambia yeye ni single na wamezaanaye mtoto na miaka 2 yote hajajua kuwa ni mume wa mtu ameamua kitu kibaya huyo mwanaume na nikibayapole sana kwa kupgwa na kitu kizoto.
Sijapigwa na kitu kizito tu nileo nimeenda kurepair dread zangu sasa nikasikia wadada wanamvyomteta mwanaume fulani kuhusu kumwambia yeye ni single na wamezaanaye mtoto na miaka 2 yote hajajua kuwa ni mume wa mtu ameamua kitu kibaya huyo mwanaume na nikibayaUnique Flower nilishakwambia mtaje jina nikusaidie kumchambaaaa....ππ
jf haiwez kuwa na matapeli wa mbususu hlf tuwachekee
Wewe ndio umeelewa kuwa sina shida ni ushauri nimeutoaUmesema ukwel ila mwanamke siku zote ukimwambia ukwel humpati ng'oo sema ngoja twende na hii formula uongo kwanza ukwel badae