Ushauri: Lema azuiliwe anataka kuharibu uchaguzi

Ushauri: Lema azuiliwe anataka kuharibu uchaguzi

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Haiwezekani uchaguzi umeanza wewe unaitwa vyombo vya habari kutaka kuzua taharuki.

Nashauri chama kimzuie asilete taharuki.

Kamkimbia mh Makonda Arusha akiamini katika siasa hana tena chake

GhKe4ebWYAAcaNf.jpeg
 
Shekh unavyoshabikia siasa 😃🙌

Wamal-hayatul duniya illa mataghul .....................

Sisi wengine sio wasomi ,maulamaa mtatusahihisha...
 
Back
Top Bottom