Ushauri: Lema azuiliwe anataka kuharibu uchaguzi

Ushauri: Lema azuiliwe anataka kuharibu uchaguzi

Haiwezekani uchaguzi umeanza wewe unaitwa vyombo vya habari kutaka kuzua taharuki.

Nashauri chama kimzuie asilete taharuki.

Kamkimbia mh Makonda Arusha akiamini katika siasa hana tena chake

View attachment 3201080
the gentleman is done politically,

he is no longer relevant nor influencial in polical arena šŸ’
 
Haiwezekani uchaguzi umeanza wewe unaitwa vyombo vya habari kutaka kuzua taharuki.

Nashauri chama kimzuie asilete taharuki.

Kamkimbia mh Makonda Arusha akiamini katika siasa hana tena chake

View attachment 3201080
Tanzania kuna matahila wengi sana na wanafikiri wanaakiri. Sasa Lema anawezaje kuzuwa taharuki kwa mfano? Kunawatu wanafikiri watanzania wote ni watoto ambao hawana uwezo wa kupima taarifa kwa akiri zao wenyewe. Kwahiyo lazima watawala wazichakate kabla hazijafika kwa watoto wanao itwa watanganyika. Ndio maana tuna basata , tuna TRCA , hayo yote ni kuhakisha watoto hawavuki mipaka yao.
 
Lema hana jipya akaishi canada kwa mkewe anamuhitaji zaidi atuache sisi tupambane na mbelgiji.
 
Lissu hafai, akipata ataharibu legacy ya viongozi wote waliopita

Yanakuhusu nini kama hafai kuna mamilioni wanajua anafaa na kuamsha hii nchi yetu pedwa ambayo imebakia kuwa na machawa, Polisi na usalam wa taifa
 
Hamna kitu humo, wale wale nasikia ana mpango wa kurudi CCM kwa jamaa yake msigwa.
 
Chadema wanalipwa kodi yangu. Jengo lao wamenunua kwa jasho la kodi yangu
Hakuna sehemu ya kodi yako iliyokwenda CHADEMA, sehemu ya kodi yako imepelekwa kule kwenye chama ulichojiunga nacho.
 
Back
Top Bottom