the gentleman is done politically,Haiwezekani uchaguzi umeanza wewe unaitwa vyombo vya habari kutaka kuzua taharuki.
Nashauri chama kimzuie asilete taharuki.
Kamkimbia mh Makonda Arusha akiamini katika siasa hana tena chake
View attachment 3201080
CCM lialia unaumizwa ukiwa wapi?Haiwezekani uchaguzi umeanza wewe unaitwa vyombo vya habari kutaka kuzua taharuki.
Nashauri chama kimzuie asilete taharuki.
Kamkimbia mh Makonda Arusha akiamini katika siasa hana tena chake
View attachment 3201080
Tanzania kuna matahila wengi sana na wanafikiri wanaakiri. Sasa Lema anawezaje kuzuwa taharuki kwa mfano? Kunawatu wanafikiri watanzania wote ni watoto ambao hawana uwezo wa kupima taarifa kwa akiri zao wenyewe. Kwahiyo lazima watawala wazichakate kabla hazijafika kwa watoto wanao itwa watanganyika. Ndio maana tuna basata , tuna TRCA , hayo yote ni kuhakisha watoto hawavuki mipaka yao.Haiwezekani uchaguzi umeanza wewe unaitwa vyombo vya habari kutaka kuzua taharuki.
Nashauri chama kimzuie asilete taharuki.
Kamkimbia mh Makonda Arusha akiamini katika siasa hana tena chake
View attachment 3201080
Chochote kile
Sijui kwanini ccm imechanganyikiwa kiasi hiki na uchaguzi wa CHADEMA!Haiwezekani uchaguzi umeanza wewe unaitwa vyombo vya habari kutaka kuzua taharuki.
Nashauri chama kimzuie asilete taharuki.
Kamkimbia mh Makonda Arusha akiamini katika siasa hana tena chake
View attachment 3201080
Haiwezekani uchaguzi umeanza wewe unaitwa vyombo vya habari kutaka kuzua taharuki.
Nashauri chama kimzuie asilete taharuki.
Kamkimbia mh Makonda Arusha akiamini katika siasa hana tena chake
View attachment 3201080
Lissu hafai, akipata ataharibu legacy ya viongozi wote waliopita
Hata saccos ya Mbowe ni ndugu na kijani cha Zenji.Na wewe umekuwa mwana CHADEMA siku hizi. Wewe si zambarao ndugu zake mbogamboga?
Hakuna sehemu ya kodi yako iliyokwenda CHADEMA, sehemu ya kodi yako imepelekwa kule kwenye chama ulichojiunga nacho.Chadema wanalipwa kodi yangu. Jengo lao wamenunua kwa jasho la kodi yangu