Katika mapambano kuna watu watatusaliti lakini tusife moyo. Lema ameingia choo cha kike amefika bei, tunamtupa kule na hii ndio mwisho wake kisiasaMimi sio mwanasiasa lkn ni mfuatiliaji mzuri wa siasa na wanasiasa kwa muda mrefu.
Kabla ya Zitto kufukuzwa Chadema nakumbuka nilitoa ushauri kama huu, akasema yeye atakuwa wa mwisho kuondoka Chadema. Alipofukuzwa utetezi wake haukuwa na uzito tena akapuuzwa, umaarufu wake ukashuka hadi leo.
Kwa upepo huu sioni future yako kisiasa ndani ya Chadema, you will not be the same again, hata hivyo kisiasa Chadema siyo chama chako cha kwanza, ulikuwa TLP.
Soma alama za nyakati kabla hujachelewa utakuja kunishukuru baadae.
Kweli ukianza kuona #hashtag zako nyingi zinatoka upande wa CCM ni ngumu sana kuaminika tena CDM, mifano ni mingi Zitto, Mbowe and others.CHADEMA ya sasa hivi haina nafasi tena kwa watu wenye siasa za namna yake.
Kwamba kujua magari ya Heche ndio uhaini, ndio maana huwa nawaita nguruwe au machoko Kwa akili zenu za kijinga.Leo heche umeshikwa pabaya, sio kwa huu mfululizo wa mada unazotoa kujitetea na kuangushia jumba bovu lema
Nimecheka kupita kiasi Leo.Kumbe Lema huwa anamtaja Mungu kama kujihami.Kule uchagani ambako Mimi nimeolea l,wachaga wanasali sana.Hata shughuli za misiba au zingine za kijamii huwa ni mapambio tu ya akina Rose Mhando.Mimi sio mwanasiasa lkn ni mfuatiliaji mzuri wa siasa na wanasiasa kwa muda mrefu.
Kabla ya Zitto kufukuzwa Chadema nakumbuka nilitoa ushauri kama huu, akasema yeye atakuwa wa mwisho kuondoka Chadema. Alipofukuzwa utetezi wake haukuwa na uzito tena akapuuzwa, umaarufu wake ukashuka hadi leo.
Kwa upepo huu sioni future yako kisiasa ndani ya Chadema, you will not be the same again, hata hivyo kisiasa Chadema siyo chama chako cha kwanza, ulikuwa TLP.
Soma alama za nyakati kabla hujachelewa utakuja kunishukuru baadae.
Sijaanza leo kupost nyuzi za Lema labda we ni mgeni humu.Leo heche umeshikwa pabaya, sio kwa huu mfululizo wa mada unazotoa kujitetea na kuangushia jumba bovu lema
Wasirra alitabiri kama wewe leo yeye ndio anakaribia kufa.Karata ya Lema ilitumika pakubwa kumuondoa Mh Mbowe kwenye Uenyekiti, sidhani kama atakuwa mbuzi wa kafara! Mtu mwizi kama Heche anayemuua mwenyekiti wake mahakamani hivi hivi ndio Lema amkimbie
Kitu ambacho nina uhakika nacho viongozi hawa ndio wamekuja kuiua na kuizika kabisa Chadema kisiasa, tusubiri chama kingine kitakachoibuka ni chama gani kuwa chama kikuu cha upinzani
Hakuna kuaminiana tena
R.I.P JPM maono yako wanayakamilisha wenyewe kwa wenyewe tena kwa style ya UFISI (TAMAA)
Chadema iuliwe na Lema? You must be joking.Sitaki kuamini chadema inakwenda kufa, hawa ccm watatuua live kama tupo Middle East
Mida ni mwalimu mzuri!Wasirra alitabiri kama wewe leo yeye ndio anakaribia kufa.
Nini Lema, walikuwepo kina Zitto, Kitila, Mwigamba etc walijiita mm, m1, m2, m3 waliandaa hadi walaka wa mapinduzi wakashindwa enzi zile za giza leo kila kitu kiko wazi ataweza vipi.Mida ni mwalimu mzuri!
Ingekuwa ndio cha kwanza ningekubaliana na wewe ila kulikuwa na vyama vya upinzani vyenye nguvu kushinda hata Chadema na sasa historia
Kwakuwa mmejaa mabumbumbu humo ndani mnajilisha upepo wa mitandaoni, endeleeni hivyo hivyo
Note, Lema kwa sacrifices alizojitolea kwa kum snitch Mbowe, usitarajie ataondoka kama ndoto za alinacha!
Na bila Lema kufanya manoeuvre siku ya uchaguzi, Lissu asingetoboa, sasa aje asumbuliwe na mtu waliyemkaribisha tu kwenye mpango ambae ni Heche
Lazima mbao zigawanywe na ndio udhaifu wa upinzani nchi hii, kujenga na kumuabudu mtu badala ya kujenga taasisi!
chama gani kimewahi kuwa na nguvu kushinda chademaMida ni mwalimu mzuri!
Ingekuwa ndio cha kwanza ningekubaliana na wewe ila kulikuwa na vyama vya upinzani vyenye nguvu kushinda hata Chadema na sasa historia
Kwakuwa mmejaa mabumbumbu humo ndani mnajilisha upepo wa mitandaoni, endeleeni hivyo hivyo
Note, Lema kwa sacrifices alizojitolea kwa kum snitch Mbowe, usitarajie ataondoka kama ndoto za alinacha!
Na bila Lema kufanya manoeuvre siku ya uchaguzi, Lissu asingetoboa, sasa aje asumbuliwe na mtu waliyemkaribisha tu kwenye mpango ambae ni Heche
Lazima mbao zigawanywe na ndio udhaifu wa upinzani nchi hii, kujenga na kumuabudu mtu badala ya kujenga taasisi!
Lema anatumika kweli..Lema ajibu.
NINAENDELEA KUTAZAMA BILA HOFU.
Kwanza, Kamati Kuu ya CHADEMA, mahali popote, haijawahi kujadili AJENDA ya Maridhiano tangu Oktoba 29 mpaka sasa.
Pili, hakuna watu wawili, watatu au kikundi cha watu ambao wamewahi kwenda kwa Makamu Wenyeviti, Katibu Mkuu au Manaibu Katibu Wakuu kuwaomba tufanye maridhiano.
Tatu, azimio la kukataa maridhiano lililosomwa na MMB , John Heche, pamoja na kutaka msuluhishi huru wa kimataifa, lilifanywa na KAMATI NDOGO YA KAMATI KUU, iliyokuwa na wajumbe wafuatao , Heche, Mnyika, Manaibu Katibu Wakuu wote wawili, Sugu, Boni Yai, Lema na Susan Lyimo.Kwa hiyo, mtu au kikundi chochote kinachotaka kuugawa msimamo huu wa CHAMA na kuuweka kwenye makundi ya watu fulani, ni mzushi na mwongo.
Msimamo huu si wa mtu mmoja. Ni msimamo wa CHAMA.Na mtu au kikundi chochote kinachotaka kuaminisha umma kwamba wajumbe hao wamegeuka au kwamba msimamo huu ni wa baadhi ya watu na si wengine, kinafanya kazi ya kutugawa kwa uongo.Ukweli unabaki kuwa ukweli, hata kama kuna watu wanaotaka kuupindisha.
Kuhusu familia yangu, watoto wangu wawili pamoja na mke wangu walikuja Tanzania baada ya takribani miaka sita wakiwa nje ya nchi, kwa ajili ya kusalimia kwa mwezi mmoja. Walifika tarehe 28/7/2026 na tayari walirudi nchini kwao Canada tarehe 3/9/2026.Wito , wote wanaopigana na mimi vita vya uongo , wataanza kuadhibiwa na Mungu siku sio nyingi, kwani ninamjua Mungu ninayemuamini.